karibu sana jamvini, ipi hiyo account iliyokuwa inaharibu hali ya hewa kule siasani?Nilikuwa member tangu mwaka 2011 account yangu ikawa inatumiwa na mtu mwingine anaingia jukwaa la siasa na kuharibu hali ya hewa nimekuwa nikifuatilia mambo yanayoendelea humu kwa muda mrefu sasa nimeona nirudi tena kushirikiana na kupeana mawazo na ninyi ndugu zangu.
karibu sana jamvini, ipi hiyo account iliyokuwa inaharibu hali ya hewa kule siasani?
labda malaria sugu
Nilikuwa member tangu mwaka 2011 account yangu ikawa inatumiwa na mtu mwingine anaingia jukwaa la siasa na kuharibu hali ya hewa nimekuwa nikifuatilia mambo yanayoendelea humu kwa muda mrefu sasa nimeona nirudi tena kushirikiana na kupeana mawazo na ninyi ndugu zangu.