Gemmy
JF-Expert Member
- Apr 6, 2014
- 1,211
- 822
Nilikuwa member tangu mwaka 2011 account yangu ikawa inatumiwa na mtu mwingine anaingia jukwaa la siasa na kuharibu hali ya hewa nimekuwa nikifuatilia mambo yanayoendelea humu kwa muda mrefu sasa nimeona nirudi tena kushirikiana na kupeana mawazo na ninyi ndugu zangu.