ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Hujipendi wewe..Nakupenda Lady,
Acha vitisho bwana mdogo,Hujipendi wewe..
Kasome kichwa cha uziAcha vitisho bwana mdogo,
KumekuchaHABARI
Wadau muwazima
Ni kitambo tumekosana humu mjengoni maana hizi pilikapilika za maisha acha tu bwana zimeniendesha mpk basi
niliwamiso sana hasa wale wadau wa enzi zile akina Bujibuji Asprin Madame B snowhite Husninyo Mtambuzi KakaKiiza
Khantwe lady general na wengine wengi mpaka nimesahau majina aisee kitambo kwakweli mpogo kweli
wengine wamebadiilika na wengine hawako duniani hasa bestito warumi (RIP BESTIE) nitakumiss sana hasa
NIMEFURAHI KUWEPO TENA NAWAKUMBUKA NA NIKO MJENGONI LETENI ISSUE
Wasalaamu
Mama mfundaji
Ladyf yuleyule asieye na mpinzani
Mtahadharishe akae akijua namba hazisomi vizuriHujipendi wewe..
Kwamba chizi kalogwa tena amaMtahadharishe akae akijua namba hazisomi vizuri
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kumekucha
asante karibuNakupenda Lady,
kumbe upo ulipoteelea wapi mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ulitaka kusikuche mkuu babu mbona una mdomo hivyo mkuu nilidhani umekuwa kumbe hahhaaaaaaaaaaKumekucha
kwanini unamwambia mwenzio hivyo amesema la moyoni hahhahaaaaaaaaaaHujipendi wewe..
Afadhali umemjibu,maana alinichimba mkwara mwingi sana.kwanini unamwambia mwenzio hivyo amesema la moyoni hahhahaaaaaaaaaa