Nimerudi tena

Nimerudi tena

HABARI

Wadau muwazima

Ni kitambo tumekosana humu mjengoni maana hizi pilikapilika za maisha acha tu bwana zimeniendesha mpk basi
niliwamiso sana hasa wale wadau wa enzi zile akina Bujibuji Asprin Madame B snowhite Husninyo Mtambuzi KakaKiiza

Khantwe lady general na wengine wengi mpaka nimesahau majina aisee kitambo kwakweli mpogo kweli

wengine wamebadiilika na wengine hawako duniani hasa bestito warumi (RIP BESTIE) nitakumiss sana hasa
NIMEFURAHI KUWEPO TENA NAWAKUMBUKA NA NIKO MJENGONI LETENI ISSUE

Wasalaamu
Mama mfundaji
Ladyf yuleyule asieye na mpinzani
Karibu sana biriani, siku hizi TIGO wanatoa tu bila hata kuombwa wanatoa tu bila kufuata utaratibu
 
Karibu
FB_IMG_16357685162739964.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom