Niliwa miss sana, kwa sababu mumewe
King'asti hatabiriki naomba nitangaze yale niliyokuwa nimeahidi kabla sijavutwa shati tena.
1. Ndoa ya mfano wa kuigwa hapa chit chat ni ya
measkron na
watu8 .Hii imedumu kwa muda mrefu bila kokoro wala chokochoko. Kwa kweli wamekuwa ni mfano wa kuigwa na makofi kwao tafadhali.
2. Nafasi nyingine ni ya mwanamke asiyetulia na mume. Hii inakwenda moja kwa moja kwa
Madame B , huyu ndani ya kipindi cha miezi sita ameweza kuwa na uhusiano wa dhahiri na
Ruttashobolwa ,
Chilli,
tedo,
Chimbuvu,
Ben Saanane na
kiplagati26. Ukiacha wale wa siku nyingi akina
Arushaone.
3. Nafasi nyingine ni kwa mwanaume aliyetongoza zaidi pasipokujali alifanikiwa au alikula kibuti, hii anaichukua
Vin Diesel ,huyu ndani ya miezi miwili iliyopita ametongoza zaidi ya mabinti na akina mama 40,baadhi kama
KOKUTONA na
Mamndenyi alipita akacharaza na kusonga mbele, wengine alizua sokomoko kwenye ndoa za watu ikiwemo ya
Arabela.
4. Pia nafasi nyingine ni ya CHIT CHAT SENIOR BACHELOR &SPINSTER. Hii inawaendea
Nicas Mtei na
kyanaKyoMuhaya respectively, hawa pamoja na uwepo wao wa muda mrefu hapa bado habari zao za mahusiano na mapenzi hazijawa bayana na wanastahili tuzo hii.
Napenda kuchukua nafasi hii kumpa pole mzee mwenzangu
Mtambuzi kwa yale yaliyomtokea Mwanza. Ndo uanaume baba ni heri ufumaniwe kuliko kuzushiwa na
muuza ubuyu kuwa watoto uliozaa na Mama Ngina ni kazi ya uanaume wake, angalau sasa tuna uhakika kuwa ni wanao kweli,
Pia nitumie fursa hii kumsihi ODM babu
Asprin kuongeza kasi ya ukaguzi kwani kumekuwa na ongezeko la members ambao hawajakaguliwa kiasi wanatuchanganya wazee.
Nitarudi na Jf udaku March edition baada ya kuwasiliana na
Bishanga TANMO na
Elizabeth Dominic.
INSHALLAH KAMA SITAKUWA NIMERUDISHWA "BAN INN" (maana wameshaona fasheni)