Weera weraaaa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2013
- 740
- 657
Mkuu si unajua tena pale ukiona tu geti liko wazi unachomoka kwa mwendokasi mtoroko, nakusubiri uraiani mkuu kama sijarudishwa huko hivi karibuni, nafurahi kuonana na wadau
Nakusaka sana hewan sikupati. Hebu nitafute
wewe njegele kweli..! Hujambo?
Kila aliyeko kwenye orodha hiyo alipata kunena hayo... Madame B is a schema and she knows how to play her cards
Atawa taja kwenye matangazo ya vifo usijaliI missed you too Baba V. Ila me na mume wangu zubedayo_mchuzi twapendana sana mbona hujatutaja
hahahahaa................. Now niko Vod na Hiyo.
Ngoja niku PM.
CC: Baba V................ Nicas Mtei ni Kaka-binamu wangu, Manake huna dogo.
........................Maneno ya Mkosaji.
Nakusubiri
wewe njegele kweli..! Hujambo?
wewe njegele kweli..! Hujambo?
Ila mkuu shavu lime kutoka au siku hizi kitu cha ulezi?
Khaaaaaa!!Mie hapa mmoja wapo.