Nimerudi wajameni, hebu tuanze na hii

Hivi mwenyekiti haujapata taarifa zangu kua nimemchumbia Zion Daughter na nimekabidhiwa mtoto imebaki ndoa tu kuanzia baba, mama, watoto, vitukuu, mashangazi na wajomba wote...

Rabheka my dear.. huyu Baba V lupango za mara kwa mara zimemchanganya
 
Last edited by a moderator:
Na ndoa nyingine ya Judgement & YNNAH !
Nayo ipo mezani! But hii nategemea baada ya kuisajili hapa Jf, then sherehe tutazifanyia nje ya nchi.
Hapa tumehofia Arushaone (King mswaki/mswati) amepania kuturoga) eti siku ya harusi Mtungi wangu usipande Jogoo!
 
Last edited by a moderator:
Nakuangalia tu unavyonichafua....hahaha!!!

Pole Kiongozi! watu8 , Hata mie nimestuka! Yaani utakaso wake na Jiki , Dodoki, Steelwire, Jiwe vitahusika!
 
Last edited by a moderator:
Shem , sasa na wale wa Fesibuku na Twita watabaki na maeneo gani ? Wkt viwanja vyote umeshavibinafsisha?

Dah!
Aisee itabidi nikatubu kisha nibaki na mmoja.
Hali ni mbaya shem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…