Arifu una aleji na Mamod? Mbona Ban zinkuandama hivi?
Hadi tunapatwa na wasiwasi kama utamudu kulisimamia vyema JF Udaku.
Manake wewe kila kukicha uko Banini....
Copy: Bishanga na Elizabeth Dominic.
wewe utakua umeambiwaAfu wewe nimepata habari zako na Tonykp, nahitaji maelezo ya kina kurasa kumi na nane, font style iwe Times New roman size 8 uweke na footnotes kwa ajili ya ufafanuzi zaidi. Kumbe nikienda kusalimia kidogo ban ninyi huku mnaharibu. Mtanitambua
TANMO kuonekana kwako nadra....unaua gazeti
maharage ya jela yalinipenda baada ya ile ban uliyonisababishia. I will catch you here here