[emoji15] kwann uliondoka?Hali zenu wanajf......habari za eid????[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Najua mtanishangaa sana lkn nimeshindwa kustahamili kuachana na jf nimeamua nirudi kijiweni.
Ruhusa kunichamba kunitukana kunishushua yote nayakubali kwasbb naipenda jf[emoji3] [emoji3] [emoji3] .
pole mkuuNilikua na stress [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Sawa mkuuMtu kama wewe
Una id ngapi ?Hali zenu wanajf......habari za eid????[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Najua mtanishangaa sana lkn nimeshindwa kustahamili kuachana na jf nimeamua nirudi kijiweni.
Ruhusa kunichamba kunitukana kunishushua yote nayakubali kwasbb naipenda jf[emoji3] [emoji3] [emoji3] .
Bas karibu tena , Joseverest alirudi pia , mlikuwa wote ?Moja tu
AiseeBas karibu tena , Joseverest alirudi pia , mlikuwa wote ?
Hebu mcheki.