samua
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,029
- 708
Hali zenu wanajf......habari za eid????[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Najua mtanishangaa sana lkn nimeshindwa kustahamili kuachana na jf nimeamua nirudi kijiweni.
Ruhusa kunichamba kunitukana kunishushua yote nayakubali kwasbb naipenda jf[emoji3] [emoji3] [emoji3] .