Nimesababisha depression kwa mtoto wa watu

Nimempimia magettoni tukiwa wawili.
 
Pimapima tu maana utapataunachotafutaa alisikika rfk angu mmoja akinionyaa mm
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]


Una uzoefu na hili bila shaka.
Muwindaji makini hakosi silaha alipo
 
Umeona eeeeh?

Yaani wanabebaga mawindo balaa.
 
Mfanyakazi wa Afya unakosa SD bioline? Utakuwa mzembe au unatuuzia Chai
Viliniishia mkuu ndio maana nikachukua hiko cha ORA, ila kwa leo ndio nachukua hapa nikaweke magettoni.
 
Jamaa medical ethics zipi zinakufanya unajiachia kupost kits na mkono wako namna hii!!??

Dah .
Mkuu hizi kits zinapatikana bure, kila mtu anaweza kuwa nayo wala sio siri, ni kwa usalama wako, ethics ni kuto kutoa taarifa za mteja na kuexpose confidential documents.
 
hukuwa na nia ya kumchakata wala,,,, kuwa kweli. hauna uroho
 
Mwanaume kupata ukimwi labda utake mwenyewe kuupata, kama demu ni mpya na kaja kwako na huna vipimo wala kondom, piga bao moja la muda mfupi ila la maandalizi mazuri, hapo ukimwi kama anao atabaki nao yeye mwenyewe.

Ukijindanganya demu mpya hujapima naye na huna kondom bao moja likachukua muda mrefu au ukaunganisha hapo hapo ndugu yangu pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…