Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Hapa ninapoandika uzi huu nipo kwenye gari kubwa semitera nakimbilia Mbeya kujificha kwa muda.
Ndugu zangu na wanajamii wa mbeya naomba mnipokee sijawahi kufika huko, ila nina vipesa kidogo vya kula na kutafuta gheto angalau nipate mahali pa kulala. Naomba tu detail ndogo ya bei ya vyumba ili punde tu nikifika kesho nitafute chumba
Nilikotoka ni pamenuka natafutwa kama jambazi nilieua. Kisa tu nimemtia mimba mtoto wa Afande ambaye ndio kwanza ametoka kumaliza form 6 hivi punde anategemea kwenda JKT kwa mujibu, Mtoto alileta shobo yeye mwenyewe kwenye kibanda changu cha kiepe sasa sijui mimi kosa langu liko wapi la kunifanya niishi kama digi digi?
Cc Zero IQ