Nimesababisha mimba kwa Mtoto wa Polisi ananiwinda na difenda

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Hapa ninapoandika uzi huu nipo kwenye gari kubwa semitera nakimbilia Mbeya kujificha kwa muda.

Ndugu zangu na wanajamii wa mbeya naomba mnipokee sijawahi kufika huko, ila nina vipesa kidogo vya kula na kutafuta gheto angalau nipate mahali pa kulala. Naomba tu detail ndogo ya bei ya vyumba ili punde tu nikifika kesho nitafute chumba

Nilikotoka ni pamenuka natafutwa kama jambazi nilieua. Kisa tu nimemtia mimba mtoto wa Afande ambaye ndio kwanza ametoka kumaliza form 6 hivi punde anategemea kwenda JKT kwa mujibu, Mtoto alileta shobo yeye mwenyewe kwenye kibanda changu cha kiepe sasa sijui mimi kosa langu liko wapi la kunifanya niishi kama digi digi?

Cc Zero IQ
 
Pole mkuu japo, hapo ulipo tayari umeshapiga Kvant yako uko poa umeamua kutuletea fujo jf usikuu huu looh
 
Mtoto si 18+ , mzee akileta wenga na wew unamtoa wenge
 
Kumbeee unakimbilia mbeya!!!! Nitakupata tuu hukohuko, chamsingi Uje mwenyewe tuyamalize, NIKUPE mke.... Simple tu... Hahahahahaha
 
'
20210608_164953.jpg
 
Hapa ninapoandika uzi huu nipo kwenye gari kubwa semitera nakimbilia Mbeya kujificha kwa muda,

Ndugu zangu na wanajamii wa mbeya naomba mnipokee sijawahi kufika huko, ila nina vipesa kidogo vya kula na kutafuta gheto angalau nipate mahali pa kulala,
Naomba tu detail ndogo ya bei ya vyumba ili punde tu nikifika kesho nitafute chumba

Nilikotoka ni pamenuka natafutwa kama jambazi nilieua,
Kisa tu nimemtia mimba mtoto wa Afande ambaye ndio kwanza ametoka kumaliza form 6 hivi punde anategemea kwenda JKT kwa mujibu,
mtoto alileta shobo yeye mwenyewe kwenye kibanda changu cha kiepe sasa sijui mimi kosa langu liko wapi la kunifanya niishi kama digi digi?

Cc Zero IQ

Hongera Sana kwa uwezo wa kutungisha.
 
Zero badilisha hiyo biashara unayofanya huenda ndo chanzo Cha matatizo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama una uhakika mtoto ni zaidi ya 18 mshawishi amwambie baba yake anakupenda. Hapo polisi atatulia na kupanga namna ya kupokea mahari.
 
Hapa ninapoandika uzi huu nipo kwenye gari kubwa semitera nakimbilia Mbeya kujificha kwa muda,

Ndugu zangu na wanajamii wa mbeya naomba mnipokee sijawahi kufika huko, ila nina vipesa kidogo vya kula na kutafuta gheto angalau nipate mahali pa kulala,
Naomba tu detail ndogo ya bei ya vyumba ili punde tu nikifika kesho nitafute chumba

Nilikotoka ni pamenuka natafutwa kama jambazi nilieua,
Kisa tu nimemtia mimba mtoto wa Afande ambaye ndio kwanza ametoka kumaliza form 6 hivi punde anategemea kwenda JKT kwa mujibu,
mtoto alileta shobo yeye mwenyewe kwenye kibanda changu cha kiepe sasa sijui mimi kosa langu liko wapi la kunifanya niishi kama digi digi?

Cc Zero IQ
Salute zote kwako kamanda. [emoji23]
 
Na ushenzi wangu wote, hakuna watu naogopa kama hawa watoto wa shule na wadada wa kazi. Hakunaga Mgumba
 
Hapa ninapoandika uzi huu nipo kwenye gari kubwa semitera nakimbilia Mbeya kujificha kwa muda,

Ndugu zangu na wanajamii wa mbeya naomba mnipokee sijawahi kufika huko, ila nina vipesa kidogo vya kula na kutafuta gheto angalau nipate mahali pa kulala,
Naomba tu detail ndogo ya bei ya vyumba ili punde tu nikifika kesho nitafute chumba

Nilikotoka ni pamenuka natafutwa kama jambazi nilieua,
Kisa tu nimemtia mimba mtoto wa Afande ambaye ndio kwanza ametoka kumaliza form 6 hivi punde anategemea kwenda JKT kwa mujibu,
mtoto alileta shobo yeye mwenyewe kwenye kibanda changu cha kiepe sasa sijui mimi kosa langu liko wapi la kunifanya niishi kama digi digi?

Cc Zero IQ
Iyo defender nani anaiwekea mafuta?
 
Back
Top Bottom