Nimesababisha mimba kwa Mtoto wa Polisi ananiwinda na difenda

Nimesababisha mimba kwa Mtoto wa Polisi ananiwinda na difenda

Hapa ninapoandika uzi huu nipo kwenye gari kubwa semitera nakimbilia Mbeya kujificha kwa muda,

Ndugu zangu na wanajamii wa mbeya naomba mnipokee sijawahi kufika huko, ila nina vipesa kidogo vya kula na kutafuta gheto angalau nipate mahali pa kulala,
Naomba tu detail ndogo ya bei ya vyumba ili punde tu nikifika kesho nitafute chumba

Nilikotoka ni pamenuka natafutwa kama jambazi nilieua,
Kisa tu nimemtia mimba mtoto wa Afande ambaye ndio kwanza ametoka kumaliza form 6 hivi punde anategemea kwenda JKT kwa mujibu,
mtoto alileta shobo yeye mwenyewe kwenye kibanda changu cha kiepe sasa sijui mimi kosa langu liko wapi la kunifanya niishi kama digi digi?


Cc Zero IQ
Nashukuru kwa kunipa taarifa kuwa unakimbilia mbeya,kesho nitakukuta uyole.
 
Ongea na mtoto wa kike vizuri akuandalie mazingira kwa baba ake ukifika ukweni unamaliza kazi

Sema uzuri pia haitamzui kuendeleza chuo ila msala ni kama baba mtoto alitaka kumuingiza Kwenye system akawe poti ndio utakua umemfelisha
 
Na ile sakata lako na mtoto wa diwani liliishia wapi mr IQ?
 
Hapa ninapoandika uzi huu nipo kwenye gari kubwa semitera nakimbilia Mbeya kujificha kwa muda.

Ndugu zangu na wanajamii wa mbeya naomba mnipokee sijawahi kufika huko, ila nina vipesa kidogo vya kula na kutafuta gheto angalau nipate mahali pa kulala. Naomba tu detail ndogo ya bei ya vyumba ili punde tu nikifika kesho nitafute chumba

Nilikotoka ni pamenuka natafutwa kama jambazi nilieua. Kisa tu nimemtia mimba mtoto wa Afande ambaye ndio kwanza ametoka kumaliza form 6 hivi punde anategemea kwenda JKT kwa mujibu, Mtoto alileta shobo yeye mwenyewe kwenye kibanda changu cha kiepe sasa sijui mimi kosa langu liko wapi la kunifanya niishi kama digi digi?

Cc Zero IQ
Mkuu habari ya siku mingi
Nilikukumis sana
 
Umeitikisa Serikali ya Samia.
Wewe ni shujaa, utapandishwa cheo kwenye Chama chetu.
 
Back
Top Bottom