Nimesababisha taharuki kwa vibaka usiku wa jana

Vijana fanyeni kazi,,
We mwenyewe ndio utafute kazi ya kufanya, maana ungekuwa na kazi usingeandika hayo madudu.
Huwezi kufahamu kitu. Wewe ni vumbi kwenye maarifa haya
 
Salamu...
Uungwana wangu ninaotoka udogoni, sijala cha mtu na sipendi dhulma, achilia mbali kuonea mtu
Jana niliamua kunyoosha miguu kidogo, kuanzia saa 12 jioni nikawa nafanya mazoezi ya kutembea, nikakatiza mitaa kadhaa....
Aaaah weeeh utakuja kubakwa na huo mdomo wako mrefu kama rocket
 
Mkuu sina vitafunwa lakini ngoja niinywe hivi hivi hii kahawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…