Nimesababisha taharuki kwa vibaka usiku wa jana

Nimesababisha taharuki kwa vibaka usiku wa jana

Salamu...
Uungwana wangu ninaotoka udogoni, sijala cha mtu na sipendi dhulma, achilia mbali kuonea mtu
Jana niliamua kunyoosha miguu kidogo, kuanzia saa 12 jioni nikawa nafanya mazoezi ya kutembea, nikakatiza mitaa kadhaa...
AKILI umezivundika wapi mkuu
 
Nazidi kusisitiza....

TAFUTA PESA
TAFUTA PESA
TAFUTA PESAAAA upunguze shida na mawazo maana refreshment unaitafuta kwa nguvu sana.
 
Mtoa mada umenichekesha ulivoandika Uzi wako Uko serious kabisa Kama utanii[emoji1]
 
Vijana najua kuna ugumu wa pesa na suala la ajira limekua gumu ! Ila hakikisheni kwenye kupambana kwenu msikose milo mitatu angalau kwa siku ! Hata kama chakula kitakua kibaya hakikisha umekula umeshiba!! Njaa inaleta uchizi
Na hii nchi kama mnavyojua maswala ya Afya ya akili hatujawa tayari kuyashughulikia ! Tunaona ni kama mtu anafanya makusudi kumbe ndo tunampoteza
 
Makolo tafuteni ubingwa, mnatusumbua mabingwa tarajiwa wa kombe la shirikisho
 
Vijana najua kuna ugumu wa pesa na suala la ajira limekua gumu ! Ila hakikisheni kwenye kupambana kwenu msikose milo mitatu angalau kwa siku ! Hata kama chakula kitakua kibaya hakikisha umekula umeshiba!! Njaa inaleta uchizi
Na hii nchi kama mnavyojua maswala ya Afya ya akili hatujawa tayari kuyashughulikia ! Tunaona ni kama mtu anafanya makusudi kumbe ndo tunampoteza
Mwanangu nimekusikia nami nakuambia kua uyaone... nilidhani umechangia kunitia nguvu kumbe umekuja kunidhihaki kuwa nina njaa... ahsante!
 
Back
Top Bottom