PdidySpencer
samahani sio wewe pengine wengine kama weewe
kumekuwa na matatizo ya ninyi abiria kuchomoa na kwueka mifukoni mwenu mkiamini zitasaidia wakati wa mafuriko ingawa yamepita dar sijaona hata mmoja ametumia hayo na akafanikiwa
so nashauri msichukue mkahisi mapambo ya nyumban hivyo ni vyombo vya usalama jamani na kama unavyosema ikitokea ndio unajua wapi ilipo nakupongeza kwa kuona hili ingawa umechemka kwenda na kutua alafu unalalamika ukitua salama wenzako wanakaa kimya
reat Thinkers,
Hivi punde nimesafiri na ndege za 540.
Wahudumu wangu walikuwa George na Moses akati Ruban wetu alikuwa Adili. ila Co pilot simkumbuki)
Maelezo ya usalama yalitolewa kwa uzuri na Moses huku George akitumia ishara mbalimbali kama namna ya kufunga mkanda nakadharika.
Nilishangaa sana Moses alijizuia mazima bila kueleza namna ya kutumia Life jackets ikabidi niangalie chini kiti changu nikagundua kuwa halikuwepo.
Nikasema labda kwa wenzagu yapo nikapitisha jicho pia sikuyaona.
Siku nyingine tena hivyo hivyo zaidi kukawa ndani ya ndani hakuna Fan ama sijui AC ilikuwa haifanyi kazi ila akatuomba radhi wasafiri kuwa pindi ndege ikipaa hewa itakuwa ya kutosha.
Naomba sana mamlaka husika ziwe makini kuangalia masuala haya, nilitoa lalamiko kama hili juu ya mafuriko haikupita mwezi yaliyotokea Dar kila mtu ni shahidi.
NawasilishaLast edited by spencer; Today at 11:31.
Braza hata LIFE JACKET (Sio PArachute) zingekuwepo zisingekusaidia kama ndege ingeangua, kwani zile ni za kukufanya uelee majini, sio kwenye Mawe. JNIA-KIA-MNZ hamna Maji!...Pole hata hivyo!
pdidy
ahsante sana.
Sasa kama nimepona mimi kwa nini nikae kimya, vizuri waliangalie. Nitasafiri nao tena kipindi cha easter niyaona kama watajirekebisha. Nikiona bado bado nabaki na hiyo option iliyopo.
Mkuu Specer, Kama nimekusoma vizuri safari yako ilikuwa Dar, KIA, Mwanza. Hapo hata likikutokea la kutokea life jacket itasaidia nini wakati hamruki juu ya bahari? Kwanza toka lini ukasikia ajali ya ndege kuna watu wameokoka kwa life jacket? Usiombe hii kitu bwana, lile dude likija chini mziki wake usipime