spencer
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 3,599
- 3,226
- Thread starter
- #21
PdidySpencer
samahani sio wewe pengine wengine kama weewe
kumekuwa na matatizo ya ninyi abiria kuchomoa na kwueka mifukoni mwenu mkiamini zitasaidia wakati wa mafuriko ingawa yamepita dar sijaona hata mmoja ametumia hayo na akafanikiwa
so nashauri msichukue mkahisi mapambo ya nyumban hivyo ni vyombo vya usalama jamani na kama unavyosema ikitokea ndio unajua wapi ilipo nakupongeza kwa kuona hili ingawa umechemka kwenda na kutua alafu unalalamika ukitua salama wenzako wanakaa kimya
Ahsante sana.
Sasa kama nimepona mimi kwa nini nikae kimya, vizuri waliangalie. Nitasafiri nao tena kipindi cha Easter niyaona kama watajirekebisha. Nikiona bado bado nabaki na hiyo option iliyopo.