Nimesahau kama nimeoa!!!!!!

Nimesahau kama nimeoa!!!!!!

paukwa?
Pakwa!
Palitokea?
Chenja kaa
Kajenga nyumba?
Kakaaa...!
Mwanangu Mwana Sitti?
VIjino kama vijiti!
Vya kujengea nyumba?
Na Vilango vya kupitia!
Hadithi? Hadithiii???
Hadithi Njoo! Maajabu Njoo! Utamu Koleaa!!!
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahha keyboard yangu inateleza kujibu naona inacheka tuuuuu hahahahahahhaahahahahahahahahahahaha...tukupe mji au?
 
Back
Top Bottom