Sema bado hujapata sababu ya kucheat, ukija kupata sababu ya msingi utakua mzoefu wa kudanganya pia.Mi mjinga sana kwenye mapenzi then sijui kudanganya na nkidanganya utajua hapohapo lands hizi za kawaida
Ila sio kucheat!!huko hapana yaani!
Hapa tunaongelea Pete ukimwi umetoka wapi tenaWanaume ndio wanaoongoza Duniani kote kuleta Ukimwi majumbani mwao.
Loh!!! experience yako ni beyond reasonable doubt😉😉Duuh! Sa kwanini uliivua? Ni bora uvae tu ili mdada ajue kua umeoa. Sa ona ulichojisababishia! Afu wenzako wanavua na kuweka kwenye wallet au mfukoni.
Sio kwa dunia ya leo..speed ya kina mama nayo sio ya kubeza nduguWanaume ndio wanaoongoza Duniani kote kuleta Ukimwi majumbani mwao.
Kuna mmoja aliwahi kuniambia hivi...mbele ya safari kah nilikutana na project ya hatari behind my back na macho makavu ukimuuliza anavyoshusha maneno kwa mpangilio kuificha,Mi mjinga sana kwenye mapenzi then sijui kudanganya na nkidanganya utajua hapohapo lands hizi za kawaida
Ila sio kucheat!!huko hapana yaani!
I swear on my living...!!yani mie huwezi nikamata hats kidogo kwwnye hizo...!Kuna mmoja aliwahi kuniambia hivi...mbele ya safari kah nilikutana na project ya hatari behind my back na macho makavu ukimuuliza anavyoshusha maneno kwa mpangilio kuificha,
kumuwekea ushahidi mezani ni kuhema eti anaomba nimuwahishe hospitali amepata presha ya kushuka kwani ni tatizo linalomwandama siku nyingi...
Kaaah bora mtu akuachie hata room ya kutomuamini sana kupunguza mshtuko mwisho wa siku kuliko hivi mnavyofanya,
''Sijuagi kudanganya nikidanganya lazima utajua hapohapo''
Wacheni hizi best
Hili halina ubishi ni kweli sisi wanaume tunachepuka sana kwa mfano mimi mke wangu yupo likizo Kilolo mie nipo Tanga lakn nawapiga wasichana hatari ndo hivo mamaWanaume ndio wanaoongoza Duniani kote kuleta Ukimwi majumbani mwao.
huna simu ya hotel mkuu?Kama kuna aliye karibu na namnani hotel akaniulizie pale mapokezi kama wameniokotea pete yangu room # 60 nilikuwa na mdada flani bonge mweusi. Nimefika mbali naelekea Iringa msibani tafadhali. Zawadi NONO itatolewa
ha ha ha itakuwa inakaza ukiwa unacheatHahhahahaaaa eeeh Mungu wangu eeh...uliivua ukiwa unafanya nini sasa?kuzuia michubuko?
hiyo zawadi nono kanunulie pete ingine case closed.................Kama kuna aliye karibu na namnani hotel akaniulizie pale mapokezi kama wameniokotea pete yangu room # 60 nilikuwa na mdada flani bonge mweusi. Nimefika mbali naelekea Iringa msibani tafadhali. Zawadi NONO itatolewa
NNDEJEDIusitake watu tule ban alfajiri yote hii
Kama kuna aliye karibu na namnani hotel akaniulizie pale mapokezi kama wameniokotea pete yangu room # 60 nilikuwa na mdada flani bonge mweusi. Nimefika mbali naelekea Iringa msibani tafadhali. Zawadi NONO itatolewa