Kuna mmoja aliwahi kuniambia hivi...mbele ya safari kah nilikutana na project ya hatari behind my back na macho makavu ukimuuliza anavyoshusha maneno kwa mpangilio kuificha,
kumuwekea ushahidi mezani ni kuhema eti anaomba nimuwahishe hospitali amepata presha ya kushuka kwani ni tatizo linalomwandama siku nyingi...
Kaaah bora mtu akuachie hata room ya kutomuamini sana kupunguza mshtuko mwisho wa siku kuliko hivi mnavyofanya,
''Sijuagi kudanganya nikidanganya lazima utajua hapohapo''
Wacheni hizi best