Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
karibu ktk ulimwengu wa wakandarasi
Wadau wakati huu naombeni kuwajulisha kuwa nimefanikiwa kusajili kampuni ya Ujenzi katika majengo na barabara daraja la saba ,lakini ni matarajio yangu ku upgrade kuwa daraja la Tano muda ni mrefu.Nakuombeni ushirikiano ili kuweza kujenga Taifa letu na kuongeza ajira kwa watz.Nategemea kufikia mwanzoni mwa mwezi April mambo yote yatakuwa yamekamilika na kuanza kupiga mzigo.
Hongera mkuu kwa hatua hiyo,
ukiwa unahitaji kupurchase vifaa used heavy duty machine kama excavator, crane,loader etc nitaarifu nikupatie huduma hiyo.
Nami nipo ktk construction industry ila upande wa kuuza used heavy duty machines
kibali kinachohitajika ni kimoja ambacho ni building permit kinatolewa nA halmashauli ya mji ambayo kiwanja chako kipo. Ila kibali hicho kinatolewa kama kiwanja chako kimepimwa na kina hati.hapo inabidi upeleke ramani ambazo ziko stamped na registered architect na kwa vile unajenga gorofa inabidi pia uwe na ramani za structure ambazo ziko stamped na registered structure engineer. Sasa kwa vile kiwanja hakijapimwa anza na kumtafuta surveyor akupimie kwanza halafu mengine ndiyo yafuate.Vinginevyo unaweza ukafanya investment yako at your own riskNaomba kukuuliza kama nina kiwanja akijapimwa nataka kujenga ghorofa ,je ofisi yako inashughulikia vibali vya ujenzi kama huo?na kibali kipi na kipi hapo kinahitajiwaili ujenzi uanze?