Ah umeonyesha udhaifu mkubwa na hujiamini yaani eti umemuomba msamaha mara jamaa ana VX huenda shughuli yako bado ya kitoto kwenye mapenzi kiwete hupakatwa baba hiyo ni nukulu ya Dr Remi huyo dame wako alikuwa haridhiki nawe pia mwenyewe una matatizo dame wa kwanza ulimfuma na best wako huyu naye msg waulize akina Fidel watakupa mbinu za kuhandle madame vicheche
Heshma mbele wana JF.
nIpo nalia bila kujua nini cha kufanya baada ya girl friend wangu wa pili kuniacha hivi hivi.
Demu wangu wa kwanza mimi ndo nilimwacha baada ya kumfumania live akimegwa na rafiki yanu wa karibu.
Huyu nilifuma msg<sms> za mwanaume na kuna uwezekanao wakawa wameshafanya mapenzi.
nikamuuliza ila ikawa tafrani kwani alingangania tuachane kama ni hivyo na hatimaye kukata mawasiliano nami .
Home haji tena hii ni week ya tatu,
Ila jamaa aliemtumia msg ni handsome na ana inasemekana ana mshiko manake anatembelea VX landcruiser.
Mimi ni ndo nimemaliza na nimebamba mzigo tayari ila hajui....
Sasa nilimwomba msamaha n a haniskiii kama nilikosa inawa yeye ndo kakosa.
Kabadli mpaka namba ya simu.
JF NISAIDIENI.
huyu demu hata wewe uneomba msamaha manake ni mkali kinoma yani ni mrembo kwa kifupi miss tz alale mbali.
Visible,
Kama ukiangalia, post yako nimeiwahi na kubadilisha kidogo ili iweze kwendana na ulivyodhamiria kuandika kwa makusudi na nimesubiri ili wadau wakupe maoni.
Mpaka sasa nafurahia maoni wanayokupa wadau.
I will be back with my comments, so far, umejiunga leo lakini kasi yako naona ni kubwa mno, KARIBU SANA mkuu!
im serious,
she is prety beuty,for sure.
Hongera sana..Sasa,what's your stand on this?,vituko ndo kama hivyo kakufanyia na tayari unajua kwamba anajiiba pembeni..Wewe msimamo wako ni upi/una mpango gani naye?(japo yaonesha umejaribu kumtafuta lakini humpati katika namba yake ya simu)...
Usipoteze mda kakangu, na zaidi unakaribisha UKWIMI! Mwanamke si sura tuu, bali tabia ndio kitu cha kwanza then sura ifatie. Najua ulikuwa unampendampenda sana huyo binti, lakini hapa inaonyesha hakuwa na penzi la kweli kwako kabisa. Kaa chini kakangu fikiria kwa urefu na mapana. Kila la kheri.
Usipoteze mda kakangu, na zaidi unakaribisha UKWIMI! Mwanamke si sura tuu, bali tabia ndio kitu cha kwanza then sura ifatie. Najua ulikuwa unampendampenda sana huyo binti, lakini hapa inaonyesha hakuwa na penzi la kweli kwako kabisa. Kaa chini kakangu fikiria kwa urefu na mapana. Kila la kheri.
Kwa hasira nawewe dunduliza hela mpaka ununue VX!
wale waleKiongozi nimekugongea senks kwa hilo!!!
wale wale