Achana nae....kama anataka wenye mali there will always be someone more loaded than you are...hakufai kabisa.... tafuta akupendaye kwa dhati...kama wataka kuwa part of the statictics za walioadhirika...endelea kumuomba msamaha....
Kwanza niseme kuwa kama mwanaume mwenzangu umenilet down kabisa kwasababu hujiamini wala hujikubali kwa jinsi ulivyo kimuonekano na kiuwezo i.e pesa na kazi. Sababu ya kusema hivyo nafikiri unaijua soma thread yako vizuri utajua ninachokisema hapa.
Pili niseme kuwa unataka kutumia kazi yako hiyo uliyoipata kumrudisha huyo mwananmke kwako lakini what i want to tell you kuwa hata akirudi usitegemee kuwa utaishi naye kwa amani kwani kama nimpenda landcruiser na watu wenye pesa hakika hutomtosheleza hata kidogo kwa staili hiyo. Mwanamke sio wa kukupenda kwa kuwa una pesa au kazi nani kakwambia pesa na kazi ni vitu vya kudumu maishani mwa binadamu yeyote inabidi mwanamke akupende kwa mapenzi ya dhati na siyo yanayochagizwa na kitu kingine chochote
Tatu kwanini wanawake wako wanamegwa na wanaume wengine? Wa kwanza liveeeeee kabisa anakula mtarimbo uliolala doro na huyu naye meseji zinazomshawishi akakumbatie mtarimbo kwa jirani. Tatizo ni nini? Hujajiuliza eti Mpwa? Kaa chini uangalie umejikwaa wapi halafu uanze upya
Nimechoka kuandika baadae tena bana
Binafsi sijakushauri uachane naye hiyo ni juu yako mwenyewe bana ili baadae mambo yakiharibika Sipo asiwe ndani ya watu waliokuharibia. Thats up to you mannimeamua kuachana nae kwani maoni ya wengi humu ni afadhali niachane nae manake atajaniua bure.
cha msingi wanawake ni wengi sana na nitatafuta taratibu ila roho inaniuma sana sana,na itaniuma mpaka ntapopata mwingine.
Heshma mbele wana JF.
nIpo nalia bila kujua nini cha kufanya baada ya girl friend wangu wa pili kuniacha hivi hivi.
Demu wangu wa kwanza mimi ndo nilimwacha baada ya kumfumania live akimegwa na rafiki yanu wa karibu.
Huyu nilifuma msg<sms> za mwanaume na kuna uwezekanao wakawa wameshafanya mapenzi.
nikamuuliza ila ikawa tafrani kwani alingangania tuachane kama ni hivyo na hatimaye kukata mawasiliano nami .
Home haji tena hii ni week ya tatu,
Ila jamaa aliemtumia msg ni handsome na ana inasemekana ana mshiko manake anatembelea VX landcruiser.
Mimi ni ndo nimemaliza na nimebamba mzigo tayari ila hajui....
Sasa nilimwomba msamaha n a haniskiii kama nilikosa inawa yeye ndo kakosa.
Kabadli mpaka namba ya simu.
JF NISAIDIENI.
Binafsi sijakushauri uachane naye hiyo ni juu yako mwenyewe bana ili baadae mambo yakiharibika Sipo asiwe ndani ya watu waliokuharibia. Thats up to you man
Kingine kama umeamua kuachana naye achana na biashara ya roho kukuuma, achana naye angalia mbele anza safari mpya bana, hayo mambo ya roho ya nini tena?
pole! greti thinka. kuna kadada kalianzisha thread ya kutafuta mchumba hapa, unaweza ukakaPM kakapunguza makali ya machungu. (PM et yowa own rizk)
Nalielewa sana hili Mpwa lakini ukiamua kutoka toka na miguu yote miwili, a prince never hestatekwa sababu nilimpenda sana mkuu.nadhani hata wewe ulishapenda....so unajua,u know how it hurts
Duh! Mpwa mbona unampa credit sana huyu mwanamke bana, unajua ni mbaya sana kama ni guest wa JF basi anakudharau kinoma Mpwa kama hujui.as long as i have no place to fall back,lzma niumie.
she treated me unfair,god knows.
usijali utapata mwingine mkubwaaaa
si ndio, kwani mkuu wewe una kasoro gani? Kwa nini ujikombe kwa huyo binti, kosa afanye yeye msamaha uombe wewe? Ohoo hajaja tena sijui amebadili namba aaa jamani huku ni kupenda au ni ubwege!
Heshma mbele wana JF.
nIpo nalia bila kujua nini cha kufanya baada ya girl friend wangu wa pili kuniacha hivi hivi.
Demu wangu wa kwanza mimi ndo nilimwacha baada ya kumfumania live akimegwa na rafiki yanu wa karibu.
Huyu nilifuma msg<sms> za mwanaume na kuna uwezekanao wakawa wameshafanya mapenzi.
nikamuuliza ila ikawa tafrani kwani alingangania tuachane kama ni hivyo na hatimaye kukata mawasiliano nami .
Home haji tena hii ni week ya tatu,
Ila jamaa aliemtumia msg ni handsome na ana inasemekana ana mshiko manake anatembelea VX landcruiser.
Mimi ni ndo nimemaliza na nimebamba mzigo tayari ila hajui....
Sasa nilimwomba msamaha n a haniskiii kama nilikosa inawa yeye ndo kakosa.
Kabadli mpaka namba ya simu.
JF NISAIDIENI.
wewe una tatizo kubwa la namna ya kuwa handle wanawake
especially vicheche......
sasa kabla hujatafuta mwingine
anza kujifunza abc d ya nini cha kufanya unapompenda
mwanamke.....
sio ngumu but sio rahisi pia...
kwanza kabisa wanawake
hawapendi wanaume dhaifu....
kama ulimfumania ni bora
ungezua varangati na kumuacha
sio kulia lia...
pili,wanawake hawapendi
mwanaume wa kupewa penzi kwa kuonewa
huruma,
wanataka a strong man who can handle
both pain and love.....
so kwa ufupi jifunze kuwa strong man...
tofautisha kuwa tough na kuwa strong...