NIMESALITIWA nisaidieni

Kuwa specific: Unataka msaada gani hasa kutoka kwa wana JF?
Kutongozewa demu mwingine?
Kumuua huyo aliyekupindua?
Kumloga huyo demu?
Kukupa u-handsome, pesa na VX lendikruza?
Kukufuta machozi? (Dume kulia sababu ya mapenzi linaweza kuwa si rizki)

Bahati mbaya hapa JF huwezi pata msaada kwa hayo yote, unless unataka msaada mwingine. Kuna mabinti wengi humu ndani waadilifu na wanatafuta wachumba. Testi zari mazee acha kulialia!
 
πŸ˜€πŸ˜€
ngoja aje mzee wa confession....!
 
We Xspin acha zako...eti dume kulia kwa sababu ya mapenzi linaweza kuwa si rizki???? real men with true love cry...nishawaona wengi tu.....and its so sweet!!!!!! LOL
 
We Xspin acha zako...eti dume kulia kwa sababu ya mapenzi linaweza kuwa si rizki???? real men with true love cry...nishawaona wengi tu.....and its so sweet!!!!!! LOL

Hahaha! Hebu nifafanulie hiyo bold mdada! Na hiyo red walikuwa wanalia kwa ajili yako?
 
Hahaha! Hebu nifafanulie hiyo bold mdada! Na hiyo red walikuwa wanalia kwa ajili yako?

this is not for public consumption........ahahhahahah just know that real men also cry.....
 
this is not for public consumption........ahahhahahah just know that real mean also cry.....

Hiyo bold??? men siyo?
I tell you strong men do not cry! How can a strong man cry for love? With all these beautiful ladies in the world? No way!
Jianaume linalolia kwa ajili ya penzi halijiamini na lioga la kutupa! Ptuuuu!
 
Kumradhi mkuu,wewe ni HE au SHE?
 
kijana,
wathubutu kumuattack MPWA?!...MPWA KWA MAANA YA MPWA?

Nimeshamjibu mpwa! Niko kwenye ile kona yetu namsubiria. Labda kuna kitu anataka kunipa, huwezi jua.
 
mwenzako Visible keshambwaga huyo na anatafuta mwenza hapa hapa!!!! wataka dataaz zipi?? we have moved on.....ahahahhahah

Sasa kama kashambwaga anataka msaada gani tena? Kufutwa machozi au? Ukimbwaga mtu unacheka kishujaa sio unalialia na kuomba msaada. Labda kabwagwa yeye. Lets wait and see.
 
Nimeshamjibu mpwa! Niko kwenye ile kona yetu namsubiria. Labda kuna kitu anataka kunipa, huwezi jua.
mimi mwenyewe namsubiri aongee utumbo fuani NIMPE KUBWAπŸ˜€
 
Sasa kama kashambwaga anataka msaada gani tena? Kufutwa machozi au? Ukimbwaga mtu unacheka kishujaa sio unalialia na kuomba msaada. Labda kabwagwa yeye. Lets wait and see.

sasa ww kama ni HE mbona pouwa tuu.kaa kando basii ma SHE wengine wanishauri.
Nilizani wewe SHE.
 
mimi mwenyewe namsubiri aongee utumbo fuani NIMPE KUBWAπŸ˜€

Hahaha! Thats my boy! Always ready to attack when mpwa is abused! LOL! Mabinamu leo naona jiii!
 
sasa ww kama ni HE mbona pouwa tuu.kaa kando basii ma SHE wengine wanishauri.
Nilizani wewe SHE.

Ahaa! Kumbe unataka ushauri wa ma-SHE wenzako siyo? Sore fo intafiarensi mai dia sista!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…