Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Yawezekana hao madem wote waliomkimbia na kutafuta real men walimstukia, just imagine jamaa yako kitu hakiendi winga hadi mapapa wapige start behind, hata ningekuwa mimi lazima ningekula kona.
Hahaha! Mpwaaaa! Usiniambie mpaka apigwe stata na kafinga ndio mtarimbo unastuka kutoka kulala doro! Maskini alikamata vihausigeli kimbe havijui! Vikaona isiwe tabu vikasepa! Sasa anataka midume ya kumstua kiaina! LOL! Kaingia wrong channel!