Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
uskute huyu ndo mchumba wako uliyempata jf hapa kaja na ID nyingne hahahahaha๐ค๐ต๐ค ๐คฏ๐คฉPole mwaya ndio mambo ya dunia.
Tunaposikia mke na mume wamekunywa juice ya sumu na kufa wote muda mwingine hua ni hivi. Wewe umempenda sana huyo mwanamke na sio dhambi. Hata sie kuna watu tunawapenda na hua tunawapa second chances tukijua watabadilika, hauko peke yako.
Kama una uwezo wa kumsomesha mtoto msomeshe tu maana mtoto anakutambua wewe kama baba yake. Ila huyo mwanamke mpotezee tu fanya kama mapito ya mwanadamu basi.
nmeusoma huu uzi kidogo tuu nipandishe mashetani kwa hasira nilizopata alaaaaah ๐บ๐น๐บ๐น๐บ๐น๐บ hv umu jf hawaruhusu kupigana au????Hodi wakuu!
Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !
Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.
Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !
Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!
Nawasilisha.
Achana naye wewe.Usiwe fala kiasi hicho.Potezea mazimaHodi wakuu!

Yaani uoe mwanamke kutoka jf ana mtoto halafu arudiane mzazi mwenzake wawe wanagongana wao ila wewe ulee mtoto wao? Hizo akili za wapi? Siwezi kudhalilisha elimu na mizimu yangu kwa wakati mmojaUsifanye wema ili ulipwe wema bali huo ubaya alio kufanyia unatosha usiwe bwege huyo mtoto nenda mpaka shule mlipie mnunulie madaftari alafu kinachofata ni block mpaka mwakani mda wa ada na madaftari
Eti Robert anasema mtoto anatumia majina yangu yote pumbavuUNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.
UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI
"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"
HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA
[emoji116][emoji116]
Baada ya Miezi kadhaaa ya kuachanaa...simu inapigwa
[emoji116]
Dubwasha.... Halo
Robert ......Halo mambo
Dubwasha.... Poa my zasiku
Robert .... Nzuri tu ,niambie
Dubwasha.... My sorry ila jamaan ninashida na hela ya kumpeleka mtoto shule
Robert....mmmhhh sawa lkn unakumbuka ulivyonitenda..mimi nilikua nakupenda sanaaa, nmekujali mnooo, yaan nilitaka ujione wee ni malaika lkn mmmhh
Dubwasha.... Jamaan My hayo tuyaache
Robert...poa ngoja nitaangalia alafu nitakujuza.( huki kichwan akiwaza kua demu akija kufata helaa, atampa na mbususu ajipigiee[emoji23][emoji23][emoji23]) ..........
Dubwasha... Anajisemea ( Bwege weweee nakuja nikiwa hedhi[emoji23][emoji23][emoji23])
Mimi Carlos The Jackal nikifanya Analysis ya hayo mazungumzo nakuja namambo haya
[emoji117]Robert toka atemane na demu, hajawahi kutia hata siku moja.[emoji23]
[emoji117]Robert ..sio tu aliacha, bali aliacha kwa sababu demu aliimiza sana kuachanaaa nahii nibaada ya Mwenye mtoto kumwambia achika, uje tulee mtoto.
[emoji117]Robert ..ni wanaume madome zege, kutongoza ni waoga..ndio maana aLitafuta mwanamke humu JF.
[emoji117]Robert anaweza kua kila mwanamke alokua naye alimkimbia .
[emoji117]Robert sio kwamba aliamua kutafuta mwanamke humu ,hata kama anamtoto yeye anabeba, sio kwasababu ana UPENDO bali hakua na chaguo jingine.
[emoji117]Demu alikua na stress nyingi za maisha, kuwaza kulea mtoto, maisha magumu sanaa kula, kuvaaaa ( enzi hizo vyuma vilikaza)
[emoji117]Demu ni kanamke ivi kembamkemba kana micheruko sio ya nchii hiii, yaan ni tulw tudemu tinavyoshindia chips au chai ya asubuhi, lkn kamejaza CD za tamthiliya na remote kanashikilia masaa 24.
[emoji117]Demu alikua anampelekesha humo ndani.
Kwa haya machache niseme kua, DEMU NI KIBOKO YA ROBERT...
ILA KWA WANAUME KAMA SISI..DEMU NI KAMALAYA KAMOJA KAPUMBAVU KAMEJAZA PUMBA KICHWANI.
Huyu jamaa ni wa kupiga makofi, ametudhlilisha sana.Et niendelee na utaratibu huo au nimkaushie??
Hivi wee ni MWANAUME KWELI???
UNAJIAMIN?? AU NDO WALE WANAUME WAKIPATA MWANAMKE, WANAPIGA MAGOTI NAKUSHUKURU MBINGU MAANA WAPO KAMA WAMEFANYIWA BAHATI NA HURUMA TU
HUJIAMINI EEH???
Hili jamaa nilakupiga makofiWEE JAMAA HUZALISHI YAAN HUNA NGUVU ZA KIUME ??
KWAHIYO HILO DUBWASHA LAKO ,MTOTO WAKE KUTUMIA MAJINA YAKO .
NDIO UNAJIONA BABA ??? MAMAEEEE
Huko jeshini mpewe na somo la kuwa mwanafamiliaHodi wakuu!
Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru Mungu nilifanikiwa, taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye!
Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.
Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae!
Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake, je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie?
Je wanawake wakweli wapo wapi? Au ndo utandawazi huu!
Nawasilisha.
Haaaaa Haaaaa ๐ jamani nimecheka hadi nimelianmeusoma huu uzi kidogo tuu nipandishe mashetani kwa hasira nilizopata alaaaaah ๐บ๐น๐บ๐น๐บ๐น๐บ hv umu jf hawaruhusu kupigana au????
Block namba yake, asijue unapoishi, usitembelee maeneo ambayo mtakutana.Hodi wakuu!
Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru Mungu nilifanikiwa, taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye!
Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.
Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae!
Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake, je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie?
Je wanawake wakweli wapo wapi? Au ndo utandawazi huu!
Nawasilisha.
Wewe kweli ni jabali la karneHuyo mtoto kwa sababu baba yake ni yale mapumbavu yasiyolea mlipie ada moja kwa moja shule usimpe mwanamke. Ikiwezekana Tunza risiti akikua mpatie maana kuna mipumbavu ya kike haichelewi kukudis na kujichukulia ujiko.
Hiyo ni fadhila tu si lazima, kama uwezo huna serikali zinasomesha bure.
Ustake nikutukane wwHakuna mkamilifu Duniani samehe Maisha yaendelee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wala sio kwamba kakumis kiivo bali ni maelekezo ya mama yake
Tukana stress zako peleka kwa walio kuzaa kima kasoro mkiaUstake nikutukane ww
Kamanda vipiUnazingua soldier