Nimesamehe lakini sitasahau

Nimesamehe lakini sitasahau

Kwa jinsi nilivyomsoma mleta uzi anashida mahali na mnajichosha kumshauri,yeye tyari anakitu chake kichwani amekuja huku kutafta uungwaji mkono.Ndugu yangu carlos umeongea kwa uchungu sana lakini jamaa bado anashukuru na kumpongeza mtu alomshauri aendelee kumlipia mtoto ada,ndugu msomaji mleta mada kama ni mtoto wako ama ni ndugu yako nawa mikono na ikiwezekana nyoa nywele ukimtakia kila la kheri na kuzidi kumwombea maana kama ni limbwata basi atakuwa keshapewa la bundi,kama sio limbwata basi anahitaji msaada wa kisaikolojia
[emoji2308][emoji2308][emoji2308][emoji2308][emoji2308]
 
Hodi wakuu!

Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !

Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.

Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !

Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!

Nawasilisha.

Natamani kukushauri ila nashindwa nianzie wapi.

Natumai utapata ushauri sahihi ila mimi nahisi una udhifu. Kama mtoto baba yake yupo, na mmeachana, ni ungese mkubwa sana kwa mwanamke kukutafuta kuhusu ada ya shule wakati anachakatwa na mzazi mwenzake.

Wanaume wenye maamuzi tupo wachache sana.
 
Dah kuna watu mabwege lakn mleta mada na bongolala afadhar ya bwege

Mtoto sio wako unataka umsomeshe wakat baba yake unamjua

Haya baba yako ametosheka na hela

Dada yako hana shida?

Wadogo zako hawana shida?

Mama yako hana shida?

Jiran yako hana shida?

Mkuu umeaibisha wanaume

Single maz n wakutomba na kusepa s wakuweka makazi

.....shtuka mkuu...

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Hodi wakuu!

Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !

Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.

Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !

Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!

Nawasilisha.
Nipe number yake Mkuu
 
Kwa kifupi ww ni ndezi halafu inawezekana una matatizo ya kiafya kwahiyo unamtumia huyo mtt kuficha madhaifu yako, walimu wanakusumbua kwani ww ni baba yake ?
Mkuu punguza ukali naona umechefukwa kwerikwerii
 
Wewe ni mpumbavu , msengee kabisa maninaa

UNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.

UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI

"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"

HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA

[emoji116][emoji116]
Baada ya Miezi kadhaaa ya kuachanaa...simu inapigwa

[emoji116]

Dubwasha.... Halo

Robert ......Halo mambo

Dubwasha.... Poa my zasiku

Robert .... Nzuri tu ,niambie

Dubwasha.... My sorry ila jamaan ninashida na hela ya kumpeleka mtoto shule

Robert....mmmhhh sawa lkn unakumbuka ulivyonitenda..mimi nilikua nakupenda sanaaa, nmekujali mnooo, yaan nilitaka ujione wee ni malaika lkn mmmhh

Dubwasha.... Jamaan My hayo tuyaache

Robert...poa ngoja nitaangalia alafu nitakujuza.( huki kichwan akiwaza kua demu akija kufata helaa, atampa na mbususu ajipigiee[emoji23][emoji23][emoji23]) ..........

Dubwasha... Anajisemea ( Bwege weweee nakuja nikiwa hedhi[emoji23][emoji23][emoji23])

Mimi Carlos The Jackal nikifanya Analysis ya hayo mazungumzo nakuja namambo haya

[emoji117]Robert toka atemane na demu, hajawahi kutia hata siku moja.[emoji23]

[emoji117]Robert ..sio tu aliacha, bali aliacha kwa sababu demu aliimiza sana kuachanaaa nahii nibaada ya Mwenye mtoto kumwambia achika, uje tulee mtoto.

[emoji117]Robert ..ni wanaume madome zege, kutongoza ni waoga..ndio maana aLitafuta mwanamke humu JF.

[emoji117]Robert anaweza kua kila mwanamke alokua naye alimkimbia .

[emoji117]Robert sio kwamba aliamua kutafuta mwanamke humu ,hata kama anamtoto yeye anabeba, sio kwasababu ana UPENDO bali hakua na chaguo jingine.

[emoji117]Demu alikua na stress nyingi za maisha, kuwaza kulea mtoto, maisha magumu sanaa kula, kuvaaaa ( enzi hizo vyuma vilikaza)

[emoji117]Demu ni kanamke ivi kembamkemba kana micheruko sio ya nchii hiii, yaan ni tulw tudemu tinavyoshindia chips au chai ya asubuhi, lkn kamejaza CD za tamthiliya na remote kanashikilia masaa 24.

[emoji117]Demu alikua anampelekesha humo ndani.

Kwa haya machache niseme kua, DEMU NI KIBOKO YA ROBERT...

ILA KWA WANAUME KAMA SISI..DEMU NI KAMALAYA KAMOJA KAPUMBAVU KAMEJAZA PUMBA KICHWANI.
Duuuh
 
Mi ni mchungaji
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeni supraizi

sema nini .embu kua mwanaume mwenye akili tena timamuu, mwanaume wakweli anachukiwa kuonewa,

mwanamke wahivyo ulitakiwa umtwange makofi km
a ya askari wa herode walivyo mtwanga yesu wetu.uku ukiwa umeweka sura ya mbuzii.

mwanaume unatakiwa uchukie upumbavu.mwanaume akichukia dunia inapata tabu.muonyeshe io tabu.

chukua mifano hii[emoji116]

vita ya pili ya dunia ilitokea baada ya mwanaume aldof hitler kuchukia dunia ilipata tabu sana

mkwawa baada ya kuchukia wajerumani walipata tabu sana.na huu ndo uanaume..be man of action

mungu mwenyew anasema tuishi nao kwa akili..sio kwa unyonge na upumbavu..imagine mke wako anakutumia text kua anaenda kut* ,lakini bado unakuja kuomba ushauri hapa pumbavu sana.

ushauri

jitahidi kua na msimamo na maamuzi yako maana siku moja utakuja uingie kingi ya mitego yake.kma umeamua ku move on block uyo shetani.ukimuona fumba macho hadi apite .asipo pita kwakua we nipasta kemea ilo pepo[emoji23] litakimbia tu
 
Wewe ni mpumbavu , msengee kabisa maninaa

UNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.

UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI

"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"

HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA

[emoji116][emoji116]
Baada ya Miezi kadhaaa ya kuachanaa...simu inapigwa

[emoji116]

Dubwasha.... Halo

Robert ......Halo mambo

Dubwasha.... Poa my zasiku

Robert .... Nzuri tu ,niambie

Dubwasha.... My sorry ila jamaan ninashida na hela ya kumpeleka mtoto shule

Robert....mmmhhh sawa lkn unakumbuka ulivyonitenda..mimi nilikua nakupenda sanaaa, nmekujali mnooo, yaan nilitaka ujione wee ni malaika lkn mmmhh

Dubwasha.... Jamaan My hayo tuyaache

Robert...poa ngoja nitaangalia alafu nitakujuza.( huki kichwan akiwaza kua demu akija kufata helaa, atampa na mbususu ajipigiee[emoji23][emoji23][emoji23]) ..........

Dubwasha... Anajisemea ( Bwege weweee nakuja nikiwa hedhi[emoji23][emoji23][emoji23])

Mimi Carlos The Jackal nikifanya Analysis ya hayo mazungumzo nakuja namambo haya

[emoji117]Robert toka atemane na demu, hajawahi kutia hata siku moja.[emoji23]

[emoji117]Robert ..sio tu aliacha, bali aliacha kwa sababu demu aliimiza sana kuachanaaa nahii nibaada ya Mwenye mtoto kumwambia achika, uje tulee mtoto.

[emoji117]Robert ..ni wanaume madome zege, kutongoza ni waoga..ndio maana aLitafuta mwanamke humu JF.

[emoji117]Robert anaweza kua kila mwanamke alokua naye alimkimbia .

[emoji117]Robert sio kwamba aliamua kutafuta mwanamke humu ,hata kama anamtoto yeye anabeba, sio kwasababu ana UPENDO bali hakua na chaguo jingine.

[emoji117]Demu alikua na stress nyingi za maisha, kuwaza kulea mtoto, maisha magumu sanaa kula, kuvaaaa ( enzi hizo vyuma vilikaza)

[emoji117]Demu ni kanamke ivi kembamkemba kana micheruko sio ya nchii hiii, yaan ni tulw tudemu tinavyoshindia chips au chai ya asubuhi, lkn kamejaza CD za tamthiliya na remote kanashikilia masaa 24.

[emoji117]Demu alikua anampelekesha humo ndani.

Kwa haya machache niseme kua, DEMU NI KIBOKO YA ROBERT...

ILA KWA WANAUME KAMA SISI..DEMU NI KAMALAYA KAMOJA KAPUMBAVU KAMEJAZA PUMBA KICHWANI.
hadi leo miaka yote m2 hajamtia mimbaa[emoji23]?alikua analewa wa mwenzake..lazima aombwe ada...

akuonyeshwa na kuoteshwa?
kwanini asile wafuasi wake kama wenzie
 
[emoji23] [emoji23] mkuu anambakaje mke wake na kwanini amroge atakua pastor miyeyusho, sema alimpiga kisaikolojia tu. Nakumbuka walikua na mtoto umri kama miaka 17+ hivi alikuaga mgonjwa sikumbuki vizuri alikua anasumbuliwa na nini

Sasa huyo malaya baada ya kupotea miezi kadhaa siku anarudi kwa uncle ndio siku mwanao alikufa hasa uncle akaamue apite nae hapo hapo akamuuzia kesi ya mauaji kua kaua mwanae na kitaa chote wanajua mwanamke ni kivuruge washamchoka na tabia zake wakaacha apambane na hali yake

Alisota ndani kama mwaka na nusu kama sio miaka miwili kabisa na hamna hata hawala mmoja aliwahi mtembelea, alikuja kuachiwa baada ya upande wake mshitakiwa kuonekana hakutenda hilo kosa ila mtoto alijifia kulingana na magonjwa yake na uncle kuamua kupotezea kesi yenyewe(nazani huruma kwa wazazi na heshima ya wakwe zake)
Sawa kabisa
 
Hodi wakuu!

Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !

Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.

Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !

Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!

Nawasilisha.
Katika maisha utake usitake kuna vipaumbele (priorities). Hata Yesu alivyokuja duniani kipaumbele chake ilikuwa kuwaokoa wenye dhambi na mizigo mizito. Hata wewe hapo ulipo kuna mtu akikuomba hela utamwambia huna, lakini mwingine akikuomba utaenda kukopa kwa jirani ili umpatie. Kaka yangu tafuta weekend kaa peke yako upange mikakati yako na uipe kipaumbele katika maisha yako. Kwa mtazamo wangu huyo mwanamke hatakiwi kuwa kipaumbele kwako ila kama hujajipanga maisha yatakupangia awe kipaumbele chako cha kutafuta.
 
Back
Top Bottom