Nimesamehe lakini sitasahau

Nimesamehe lakini sitasahau

Nimeanza utekelezaji wa kukushughulikia. Muda ndiyo utaamua. Si unadhani kila mtu ni wa kutukana humu ndani. Subiri.
SASA BASI.. UKISHINDWA KUTEKELEZA.


NITAKUA NA WASIWASI NA HAKO KAELIMU KAKO KASHERIA

NITAKUONA NIKM HAWA MAWAKILI WA SERIKALI WANAOULIZA

"wakili....Posta unapajua ????

Shahidi...Hapana.


Wakili...Unapajua Stesheni ???

Shahidi ...Ndio

Wakili...Pale ndio Posta.

Jaji....Sasa niandike nini??

Wakili..mmUnapajua Posta[emoji23][emoji23][emoji23]



Serikali huwa inapoteza sana Pesa kusomesha vichwa maji kama wewe.


HAYA NAKUTAKIA KAZI NJEMA..NASUBIRI UCHURO WAKO.


KMMKE.
 
Nimeanza utekelezaji wa kukushughulikia. Muda ndiyo utaamua. Si unadhani kila mtu ni wa kutukana humu ndani. Subiri.
Unasoma HGK, HGL, HGE, HKL umepata 2 . Au umesoma Ka diploma kann huko. Umeunga.
Umepata kashahada, ,Ukaenda shule ya sheria

Sasa Unajiona Jaji?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Mwenzio huyu hapa chini. wakili uchwara [emoji116][emoji116]



IMG_20210928_202945_019.jpg
 
SASA BASI.. UKISHINDWA KUTEKELEZA.


NITAKUA NA WASIWASI NA HAKO KAELIMU KAKO KASHERIA

NITAKUONA NIKM HAWA MAWAKILI WA SERIKALI WANAOULIZA

"wakili....Posta unapajua ????

Shahidi...Hapana.


Wakili...Unapajua Stesheni ???

Shahidi ...Ndio

Wakili...Pale ndio Posta.

Jaji....Sasa niandike nini??

Wakili..mmUnapajua Posta[emoji23][emoji23][emoji23]



Serikali huwa inapoteza sana Pesa kusomesha vichwa maji kama wewe.


HAYA NAKUTAKIA KAZI NJEMA..NASUBIRI UCHURO WAKO.


KMMKE.
[emoji23][emoji23][emoji23] komando wa leo[emoji91][emoji91][emoji91]
Screenshot_20210928-155731_Twitter.jpg


Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Safari yako imekuwa ngumu na fupi sana hapa Love Connect :

1. Hapa unatafuta mke



2. Hapa ukaleta mrejesho


3. Nawe ukaanza na kutoa ushauri


4. Kazi kwisha. Vilio na majuto. Pole sana!

 
Safari yako imekuwa ngumu na fupi sana hapa Love Connect :

1. Hapa unatafuta mke



2. Hapa ukaleta mrejesho


3. Nawe ukaanza na kutoa ushauri


4. Kazi kwisha. Vilio na majuto. Pole sana!


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hodi wakuu!

Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !

Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.

Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !

Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!

Nawasilisha.
Very simple bro,mwambie no sitaweza kutoa fedha za ada kwakuwa wewe sio baba mzazi,ulifanya hayo yote mlipokuwa pamoja,kwa sasa hampo pamoja,achukue ustaarabu wake

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Sema jamaaa anachukua ushauri unao mfurahisha yeye alitaka sapoti tu ya watu watao muunga mkono kwa ujinga wake na sisi tumuache aendelee na ufara wake si penda penda sana yeye halafu miaka kibao hujamtia hata mimba huyo malaya si bora ubaki single.

Nina uncle fara fara kipindi hicho nae ni mchungaji ila mkewe(mama mchungaji) alimtesa kifara mara asepe home akapigwe pumbu huko anakuja kurudi baada ya muda na anapokewa maisha yanaendelea sema uncle bana baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani kwa muda mrefu akili zilimrudi saizi kaoa ka bint kengine mambo shwari

We endelea kumpepelea huyo malaya anakupenda sana, kwani joka jeusi kapotelea wapi wakuu
Uncle wako bado atakuwa anasumbuliwa na huo ufala

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Upumbavu wa mwanamme ni mtaji kwa Mwanamke...
Uelewe Wanawake ni wajanjajanja, usipokuwa makini ukadata kwelikweli kama huyu mtoa mada yeye anakua superficial.

Ni kosa kubwa mwanmme kumpenda mwanamke kindakindaki...

Hiyo love unayompatia Mwanamke kupitiliza ni heri ujipatie nafsi yako...Nafsi yako ukiipenda nayo itakupenda
 
Weee mjinga kweli , umeona nimegombana naye ???

Nmeamua kutofautiana naye kwa lugha hiyohiyo ambayo nmeona inafaa.

Unajua maana ya kugombana???


We matako nini,, sasa wee ndio tunagombana.

Unaniletea vitisho vya kipumbavu ,, ANZA HATA SASA KUSHUGHULIKA SASA



Wee fala nini, mpuuzi kabisa, unaona kwa maisha haya na umri huu ni wakuongea namm kama huna akili ???


TENA UKOMEE NA USITHUBUTU SIKH NYINGINE KUNIFUNULIA MDOMO WAKO MKUBWA HUO.


KABLA YA KUNIFUNZA JAMBO ..HAKIKISHA U.EUNGANISHA DOMO LAKO KUBWA NA KA KAUBONGO KAKO KADOGO ULIKOJALIWA


Mungu akusaidie uache kunipurukia siku nyingine.


Mjinga mmoja wee, nilini wapi?? Nmewahi kukutweza utu wako???


Uliwah niPM mahali popote toka uanze kunifatilia ???


UMESHINDWA NN KUNIBLOK??? NMEKUOMBA UWE UNASOMA MAANDIKO YAKO???

MANYOKO KABISA...

SASA NIIVI, WEWE NA WENGINE AMBAO MNAKWEZEKA NA MAANDIKO YANGU, SIWALAZIMISHI KUSOMA, NA BADO HAMNIPANGIII NINI NIANDIKE .

MNIBLOK [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123].
Kwa jinsi unavyotukana na kujifanya mbabe humu jukwaani JF kwa mtu mzima na mwenye uelewa anajifunza kuwa ni mtu wa namna gani. Wewe ni either ni mtu wa kanda ya ziwa Msukuma na bado una ushamba na umwamba/utemi wa kizamani kama JPM, pili umeishi maisha ya kuumizwa/kuteswa utotoni, umekulia
maisha ya kimaskini sasa ndio unajionesha umwamba kama JPM and other sukuma gang, u limbukeni, u mshamba sanaaaaa. Maandishi yako yananena tabia na makuzi yako hata kama hatufahamiani huku. Pole na samahani kwa hilo bro.
 
Nimeanza utekelezaji wa kukushughulikia. Muda ndiyo utaamua. Si unadhani kila mtu ni wa kutukana humu ndani. Subiri.
Msamehe bro, huyo ana mtindo wa ubongo. Mtu mzima na mwenye akili timamu asingeandika hayo aandikayo. Anatukana sana na mods wanamuangalia tu.
 
Safari yako imekuwa ngumu na fupi sana hapa Love Connect :

1. Hapa unatafuta mke



2. Hapa ukaleta mrejesho


3. Nawe ukaanza na kutoa ushauri


4. Kazi kwisha. Vilio na majuto. Pole sana!

Umenifanya nicheke kwanguvu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom