Nimesamehe lakini sitasahau

Nimesamehe lakini sitasahau

KUNA MIZIGO, ILISHAJICHOKEA ,IKO MITANDAONI KUTAFUTA PAKUMZIKIA.


LIKISHAPATA, BAAI KWAKO NI KULA, KULALA, KUVAA, KUISHI.


LKN HALIACHI TABIA YAKE ILE YA MWANZO

HALIJITAMBUI, NI MBUMBUMBUUUUU YAAN TOPE KICHWAN ,LIMEJAZA KAMASI KICHWANI.


DUBWASHA LA AINA HIYO, USILICHEKEE HATA KIDOGO ETI KISA NI LIJIKE .


KUA MWANAMKE, HAKUMPI UHALALI WA YEYE KUSAMEHEWA HATA KATIKA MAUJINGA YAKE YA KIPUMBAVU.
Mkuu [emoji16] poza kidogooo usimjaze jazba huyu akajikuta anakula hiyo simu anaypitumia sasa hiv
 
SINDO HAPO MKUU, YAAN K ?? K ZILIVYOJAAA HIVI DUNIAN PANDE ZOTE ZA DUNIA ???


HATA KAMA K YAKE INADONDOSHA DHAHABU.


AISEEEE, MWANAMKE LAZIMA AKUHESHIMU, YAAAN MWANAMKE NI LAZIMA, NASEMA NI LAZIMA AKUHESHIMU , UWE HAI, UWE UMEKUFA, LAZIMA AKUHESHIMU KWELIKWELI



" ET LEO NAENDA KWA BWAN"[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Alwaysbusara Ni nzuri hasa ukiwa u ajitambua
 
Hodi wakuu!

Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !

Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.

Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !

Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!

Nawasilisha.
Mkaushie kama alikuwa anawasiliana na kukutana na baba wa mtoto si wamtunze mtoto wao majina sio ishu.
Mblock kila sehemu, akija mkate mabanzi mixer mitama kama mwizi kua kama true soldier that you are, amejua umerudi na mpunga wa UN- PEACE KEEPING ndo anataka matunzo ya mtoto wake. Shenzitype kabisa
 
UNA SURA MBOVU ?? HUNA HELA?? HUNA KAZI ???


HIVI KWANN HUWA MNAWADEKEZA HAWA WAJINGA WAJINGA WASOJITAMBUA.


MTU AKIKUFANYIA UBAYA MWANZONI KABISAA, NAWEWE MFANYIE UBAYA MARA MBILI YAKEEE.
mkuu kama mtoa mada ni mwanaume wa dar wala tusmlaumu,labda aseme ni wa mikoan hapo tutaruka naye hadi ataukimbia uzi wake
 
mtoa mada akiwa na mkewake mwenye mtoto wa mwanaume mwingine
JamiiForums-2045051524.jpg
 
Wewe ni mpumbavu , msengee kabisa maninaa

UNAOKOTA MALAYA HUMU ASOJITAMBUA, ANAKUENDESHA WEEE, UNAVUMILIA.

UMEFANIKIWA KUMUACHA ,ALAFU ANAKUJA KUKULETEA UMALAYA WAKE WAZIWAZI

"ET ANAOMBA HELA ZA SHULE?"


HILO DUBWASHA LIMEKUONA WEWE NI BWEGEEE JINGAAAA FALAAAAAA
Muongeze mengine huyu jama hajitambui
 
KUNA MIZIGO, ILISHAJICHOKEA ,IKO MITANDAONI KUTAFUTA PAKUMZIKIA.


LIKISHAPATA, BAAI KWAKO NI KULA, KULALA, KUVAA, KUISHI.


LKN HALIACHI TABIA YAKE ILE YA MWANZO

HALIJITAMBUI, NI MBUMBUMBUUUUU YAAN TOPE KICHWAN ,LIMEJAZA KAMASI KICHWANI.


DUBWASHA LA AINA HIYO, USILICHEKEE HATA KIDOGO ETI KISA NI LIJIKE .


KUA MWANAMKE, HAKUMPI UHALALI WA YEYE KUSAMEHEWA HATA KATIKA MAUJINGA YAKE YA KIPUMBAVU.
Mkuu huyu alitakiwa aweke namba yake ili tumpigie na kumtia matusi, tuende kwake tukalipige makofi jinga, limeojota dubwasha lisilofugika alaf linampaka mavi
 
Back
Top Bottom