Nimesamehe lakini sitasahau

Mkuu [emoji16] poza kidogooo usimjaze jazba huyu akajikuta anakula hiyo simu anaypitumia sasa hiv
 
Alwaysbusara Ni nzuri hasa ukiwa u ajitambua
 
Mkaushie kama alikuwa anawasiliana na kukutana na baba wa mtoto si wamtunze mtoto wao majina sio ishu.
Mblock kila sehemu, akija mkate mabanzi mixer mitama kama mwizi kua kama true soldier that you are, amejua umerudi na mpunga wa UN- PEACE KEEPING ndo anataka matunzo ya mtoto wake. Shenzitype kabisa
 
UNA SURA MBOVU ?? HUNA HELA?? HUNA KAZI ???


HIVI KWANN HUWA MNAWADEKEZA HAWA WAJINGA WAJINGA WASOJITAMBUA.


MTU AKIKUFANYIA UBAYA MWANZONI KABISAA, NAWEWE MFANYIE UBAYA MARA MBILI YAKEEE.
mkuu kama mtoa mada ni mwanaume wa dar wala tusmlaumu,labda aseme ni wa mikoan hapo tutaruka naye hadi ataukimbia uzi wake
 
Muongeze mengine huyu jama hajitambui
 
Mkuu huyu alitakiwa aweke namba yake ili tumpigie na kumtia matusi, tuende kwake tukalipige makofi jinga, limeojota dubwasha lisilofugika alaf linampaka mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…