Nimesamehe lakini sitasahau

Eeehh mkuu

Samahan kuuliza lakini
Why are you so negative about love thing
Kupitia tu threads zako... unaponda sana mahusiano na ndoa
Kuna kitu ushapitia au
Weren’t your parents married?????
Lini nmeponda mahusiano???

Wapi nmeponda ndoa???


Nipe link au screenshots mahali popote nilipowahi onyesha negativity kwenye ndoa na Mahusiano.


NI IVI, NINA MWANAMKE WANGU KANIZALIA WATOTO WAZURIIIIII .


mimi huwa nikiponda basi naponda panapostahili... Na nikiunga mkono naunga panapostahili.


Ukiwa Unayefaa, nitakusifiaa nitakupa sifa zako zote.


Ila ukiwa na uwendawazimu, nitakuonyesha uwendawazimu wako wotee.


Yaan hapa, white is not black....nyeupe nni nyeupe...nyeusi ni nyeusi[emoji123][emoji109]
 
Eeehh mkuu

Samahan kuuliza lakini
Why are you so negative about love thing
Kupitia tu threads zako... unaponda sana mahusiano na ndoa
Kuna kitu ushapitia au
Weren’t your parents married?????
Mimi ni zao la wazazi walooana na kutuzaa watoto ...



Wee unadhan wazazi wa miaka ile, ndio utakuja linganisha na nyinyi vibinti vya sasa hivi????


Zamani ,Wazeee walioa masingo mama, lkn huwezi kuta, huyo mama anafanya maujinga ya namna hii.

Why?? Kwasababu ni wanawake walolelewa na kufundishika, na waliojua KUPENDA.
Negativ about love thing?? Unaijua inavyofanana.



NJOO SASA HIVI [emoji116]
Kinachowaponza ni hiko, wengi wenu mnataka kubembelezwa hata kwa mambo ya ovyo.


KUSALI HAMSALI

KUSWALI HAMSWALI

MAISHA YA MKUMBO, STAREHE ZA AJABU .

HUJUI MIPAKA YAKO

HUJUI KUPENDA
 
Mkuu maisha Yana mapito yake na changamoto yake pia mungu hutupitisha juu ya haya ili kutufanya tuwe imara kw ajiri ya kesho pia siyo kwamba mi mbaya au Sina pesa ninazo ila so za Kama zenu maana kila mwana jf no tajiri maisha mazuri .asante
MIMI SINA PESA, NINA VIJISENTI TU VIDOGO VYA KUENDESHA MAISHA KAMA MTANZANIA.


ILA PAMOJA NA HILO SIWEZI KURUHUSU MTU , ( AWE KE AU ME, ACHEZE NA UTU WANGU) SIWEZI.


WEEE SIO TU UNGEKUA NA HELA, WEWE HATA UWE NA MABILIONI YA PESA,.. UTASUMBULIWA SANA NA MWANAMKE.




Mangapi yakufanye imara??? 2019 ukajua kaanza kuwasiliana na mzazi mwenzio, visa kwa ndugu zako, umesafiri, Kakufanyia visa vya kipumbavu.umeamua kufukuza, tena umshukuri Mungu .


Alafu bado anakutafuta, unakuja kuomba ushauri humu???


[emoji117]JIPIGE KIFUANI MARA TATU UKIJIAMBIA " MIMI BWANA ROBERT SHIGULA NI BWEGE , NINA MAPENZI YA KIJINGAAAAAAA MPAKA NADHARAULIKAA".
 
Sio limemuona tu yaaani huyu jamaa live ni bwege, fala, jinga , poyoyo,popoma,twatwa,ngetwa nk
 
Acha kumsumbua mchungaji. Wewe ndiyo huyo single mom unayeng'ang'ania hela za matunzo ya mtoto.
Mpeleke kwa baba yake. Nyie wanawake huwa hamfikiri kesho yenu itakuwaje?
Nimemkumbuka sana NYENYERE alisema 'Usioe single mother' ni kweli 100%
Hhaahhahahah amigo umeshapanick
 
Nakuhakikishia mtoa mada anachangamsha watu, hakuna mwanaume wa ivo ......
Amin amin nakuambia, huyu jamaa yupo serious wala sio kama anachangamsha genge. Wanaume wa aina hii wapo tena wengi tuu kuliko unavyofikiri. We unadhani hao mademu wa ajabu ajabu unaoona wanaolewa kila siku mitaani wanaolewa na kina nani? Sindio mijamaa kama hii?
 
Bi
Binafsi nimeona jinsi unavyoandika mtu
Mkuu binafsi upo sahihi na mawazo yako Ni mazuri Sana nashukuru Sana kwa ushauri lakini nakushauri tu kuwa huijui kesho yako punguza maneno ya vijiweni na ya vijana wavuta bangi akili yako Inafaa itailiwe uwe na upeo mkubwa kidogo ndg samahani lakini
 
Baada ya Miezi kadhaaa ya kuachanaa...simu inapigwa[emoji116][emoji116][emoji116]

Dubwasha.... Halo

Robert ......Halo mambo

Dubwasha.... Poa my zasiku

Robert .... Nzuri tu ,niambie

Dubwasha.... My sorry ila jamaan ninashida na hela ya kumpeleka mtoto shule


Robert....mmmhhh sawa lkn unakumbuka ulivyonitenda..mimi nilikua nakupenda sanaaa, nmekujali mnooo, yaan nilitaka ujione wee ni malaika lkn mmmhh


Dubwasha.... Jamaan My hayo tuyaache


Robert...poa ngoja nitaangalia alafu nitakujuza.



Mimi Carlos The Jackal nikifanya Analysis ya hayo mazungumzo nakuja namambo haya

[emoji117]Robert toka atemane na demu, hajawahi kutombaa hata siku moja.

[emoji117]Robert ..sio tu aliacha, bali aliacha kwa sababu demu aliimiza sana kuachanaaa nahii nibaada ya Mwenye mtoto kumwambia achika, uje tulee mtoto.

[emoji117]Robert ..ni wanaume madome zege, kutongoza ni waoga..ndio maana aLitafuta mwanamke humu JF.

[emoji117]Robert anaweza kua kila mwanamke alokua naye alimkimbia .

[emoji117]Robert sio kwamba aliamua kutafuta mwanamke humu ,hata kama anamtoto yeye anabeba, sio kwasababu ana UPENDO bali hakua na chaguo jingine.

[emoji117]Demu alikua na stress nyingi za maisha, kuwaza kulea mtoto, maisha magumu sanaa kula, kuvaaaa ( enzi hizo vyuma vilikaza)

[emoji117]Demu ni kanamke ivi kembamkemba kana micheruko sio ya nchii hiii, yaan ni tulw tudemu tinavyoshindia chips au chai ya asubuhi, lkn kamejaza CD za tamthiliya na remote kanashikilia masaa 24.

[emoji117]Demu alikua anampelekesha humo ndani.





Kwa haya machache niseme kua, DEMU NI KIBOKO YA ROBERT...

ILA KWA WANAUME KAMA SISI..DEMU NI KAMALAYA KAMOJA KAPUMBAVU KAMEJAZA PUMBA KICHWANI.
 
Mkuu juzi nimepigiwa simu na mwalimu wa mtoto anasumbua anataka kuongea nami nikaumia Sana nikaongea na mtoto anaonekana kanimis Sana so sauti ya mtoto nikilala inajirudia naumia Sana juu ya mtoto si mama
 
Sasa kitakachokufanya unywe sumu ujiue kabisa ufe, ni pale utakapogundua kwamba huyu jamaa hapo alipo ana mpango wa kumrudisha huyo mwanamke na kumuomba msamaha kwa yote yaliyotokea, na kuahidi kuendelea kumlipia mtoto ada huku akimpa mwanamke zawadi kedekede!!

Hapo nahisi ndugu yangu Carlos ze Jackal utazimia kabisa kama sio kukata roho 🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu juzi nimepigiwa simu na mwalimu wa mtoto anasumbua anataka kuongea nami nikaumia Sana nikaongea na mtoto anaonekana kanimis Sana so sauti ya mtoto nikilala inajirudia naumia Sana juu ya mtoto si mama
Mi nadhani mrudishe tu huyo mwanamke uendelee kulea na huyo "mwanao". Kwa nnavyokuona huna ujanja hapo ndio mwisho wako wa kufikiri nahisi mmekutana pipa na mfuniko.

Nadhani kuna watu ambao mmeumbwa kuteseka ili sisi wengine tupate fundisho na tujue mtu anapokua mjinga hua anakuaje.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha kmmke hahahahahahhah hahahahahahhahahah

Umenichekesha mwanangu hahahahaha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha kmmke hahahahahahhah hahahahahahhahahah

Umenichekesha mwanangu hahahahaha
Mkuu dunia hii ina mengi ukisema umeshaona kila kitu unajidanganya 😀
 
Mie nawasoma tu mnavyokazana kushauri najisemea hiiiiiii bagheshi!!! We angalia hata ushauri anaokubaliana nao, kwa sasa huyu hata umpige makofi hawezi kukuelewa mpaka litakapomkuta jambo la kumshtua ubongo na kukumbuka akili alipoziacha.

Ila yote kwa yote wanawake tunapenda wanaume ambao ni WANAUME.
 
Mkuu dunia hii ina mengi ukisema umeshaona kila kitu unajidanganya [emoji3]
Kuna Uncle wangu alishauriwaga na ukoo mzima..likakubali.


Alivyorudi kwake, akabadili uamuzi, akamrudia yule demu.


Demu alikuja kivingine, ilibaki nusura afeee.


Ndo akamuachia jumla, akarudiana na mke wake mkubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…