Nimesamehe lakini sitasahau

ACHA UZOBA WEWE..ACHA UZOBAAAA.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaha kmmke hahahahahahhah hahahahahahhahahah

Umenichekesha mwanangu hahahahaha
😁😂🤣
Oya mwanangu nimwfatilia sana nondo zako kwny huu uzi. Naona una hasira kali juu ya haya anayofanyiwa ndugu yety.

Lkn ww huoni tayar kuna aina ya ushauri humu ndani anapenda kuuskia. Heheh punguza stress. Dunia ina mambo.

Wacha wengine tujifunze.
 
Jamaaa nmeshamsoma, kuna ushauri anautafuta, ili tumhalalishie uhovyo wake

Kwamba anajua kupendaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ro
Mkuu una

Mkuu una akili Sana nashukuru
Robert acha ujinga wewe....!!! Ukaribu wote na huyo Mwanamke ni mauti yako...!!! Siyo Kila Mwanamke ni WA kuonea Huruma...!!! Kama unahaja ya kusomesha njoo Inbox nikupe Yatima uwasaidie... Akili umeacha wapi???
 
Ukileta bango kutafuta mke basi ukimpata yeye atakutafsiri kama mwanaume usiye na mbele wala nyuma. Yaani kote huko umekosa wa kuoa, ww ni dhaifu na una mapungufu.
Mke anapatikana kwa hatua na ni muhimu kuzifuata hzo kanuni.
 
Mkuu juzi nimepigiwa simu na mwalimu wa mtoto anasumbua anataka kuongea nami nikaumia Sana nikaongea na mtoto anaonekana kanimis Sana so sauti ya mtoto nikilala inajirudia naumia Sana juu ya mtoto si mama
Onaa


Wewe zoba kweli.




Yaaan huo uchungaji wako. Hata Mbingu unazikeraaaaa.
 
Kuna Uncle wangu alishauriwaga na ukoo mzima..likakubali.


Alivyorudi kwake, akabadili uamuzi, akamrudia yule demu.


Demu alikuja kivingine, ilibaki nusura afeee.


Ndo akamuachia jumla, akarudiana na mke wake mkubwa.
Hata mimi kisa kama hiki kilishamtokea mtoto wa baba mkubwa. Ndio maana kuna jamaa kasema anahisi mleta mada anachangamsha genge nimemkatalia kabisa, watu wa aina hiyo wapo. Ni mpaka ateseke sana ndio mwishoni akili zitakuja kumrudia.
 
Hili ni furushi la karne!

Bageshi [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Hata mimi kisa kama hiki kilishamtokea mtoto wa baba mkubwa. Ndio maana kuna jamaa kasema anahisi mleta mada anachangamsha genge nimemkatalia kabisa, watu wa aina hiyo wapo. Ni mpaka ateseke sana ndio mwishoni akili zitakuja kumrudia.
Hahah et ni mpaka ateseke sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sna kwa kuchagua kijifunika shuka moja na chatu ambaye ulimchagua kwa msukomo wa hisia zako bila kuweka akili mbele
 
M Mwanamke Malaya Muongo msaliti siyo wa Kumuonea Huruma... Fukuzia mbali....
 
100
 
Hakuna mkamilifu Duniani samehe Maisha yaendelee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…