Nimesamehe lakini sitasahau

Nimesamehe lakini sitasahau

Nimsaidie Kujibu Kuna baadhi ya Wanawake wanaudhi sana kiasi kwamba maisha yako na watoto kama mnao yanaharibika Kabisa...!! Ujue hakuna Kitu kibaya kama break up. Hasa ikiwa uliweka Kila Kitu Ili Relation idumu milele...!!!

Yah it’s true and I understand the feeling
Shits happen mkuu
Sio wanawake tu wanauzi ata wanaume pia wanaumiza
Ni kuomba tu Mungu mkuu
 
[emoji117]Et leo naenda kwa mwanaume usinitext??

MAMAEE KABISAA, HUONI HUYO ALITAKA KUKUUA ?? HUONI HAJALI UFANISI WA KAZI ZAKO??

MANINAA KABISAAA WEE, MALAYA MMOJA ASOJITAMBUA, UMEMUOKOTA HUMU NA KESHAZALISHWA , NDIO ANAKUENDESHA KAMA MJINGA????
🤣...Bro umewaka,Angekua karibu ungemzaba mabanzi
 
Kwa jinsi nilivyomsoma mleta uzi anashida mahali na mnajichosha kumshauri,yeye tyari anakitu chake kichwani amekuja huku kutafta uungwaji mkono.Ndugu yangu carlos umeongea kwa uchungu sana lakini jamaa bado anashukuru na kumpongeza mtu alomshauri aendelee kumlipia mtoto ada,ndugu msomaji mleta mada kama ni mtoto wako ama ni ndugu yako nawa mikono na ikiwezekana nyoa nywele ukimtakia kila la kheri na kuzidi kumwombea maana kama ni limbwata basi atakuwa keshapewa la bundi,kama sio limbwata basi anahitaji msaada wa kisaikolojia
 
Hodi wakuu!

Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !

Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.

Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !

Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!

Nawasilisha.
Endelea, mpaka utakapokuua ndo utajua uko kwenye kaburi lako.

Mwanamke anakupigia simu anaenda kwa mwanaume na mtoto pia si wako bado unataka ushauri gani, mwanaume wengine wajinga sana
 
Mwambie baba mtoto halisi achukue wajibu wa kumlea mtoto,achana naye huyo hafai
 
Espy nimejikuta katika Wakati mgumu sana... Sasa nimejikuta naogopa kuanza Tena Mahusiano umalaya pia siuwezi ndo maana nasema sitamuonea Huruma Wala Kumthamini Mwanamke Tena....!!!
Fanya kile ambacho nafsi yako itakuwa na amani kukifanya.
 
Espy nimejikuta katika Wakati mgumu sana... Sasa nimejikuta naogopa kuanza Tena Mahusiano umalaya pia siuwezi ndo maana nasema sitamuonea Huruma Wala Kumthamini Mwanamke Tena....!!!
Wanawake wazuri wapo sema sometime inahitaji akili tatizo siku hizi mnaokotana mtaani lakini nakuhakikishia ukitulia utampata mwanamke mzuri dalili za mwanamke wa kuoa zinaanza kuonekana mapema huwezi kaa na mwanamke miaka miwili kama uko timamu usijue anafaa ama hafai,nakuhakikishia wanawake wazuri wapo
 
Pole sana mkuu, lakini usijiapize hutapenda tena, thubutuu 🤣
 
Hodi wakuu!

Samahani kwa hili lakini inabidi niseme , mwaka 2017 nilileta thread moja hapa kwenu ya kutafuta mke nashukuru mungu nilifanikiwa , taratibu nikafuata akawa mke rasmi , yeye alikuwa na mtoto mmoja nilimpenda hivo hivo nikawa namlea Kama wangu , kiukweli nilimshukuru mungu kwa kukutanishwa naye !

Mwaka 2019 ndipo true colour yake halisi nikaitambua akawa ni mwanamke mwenye maneno mengi Sana na simu yake ikawa busy Sana nikaja tambua kumbe ana Yule mshikaji wake aliyemzalisha tayari wanawasiliana na tabia yake ikawa chafu Sana kiufupi nilipitia matatizo makubwa Sana kwenye ndoa hiyo Familia ikaingilia kidogo Mambo yakawa sawa huwezi amini nilimthamini sana yeye na ndugu zake pia lakini hakujali kabisa.

Ndgu zangu Mimi na wazazi wangu nikawa naumia Sana nikiamini ipo siku atabadilika nikawa nanunua zawadi napeleka nyumbani nadai kuwa mke wangu ndo kanunua kwa ajili yao kumbe hakuna nilifanya ivo ili kuwaaminisha wazazi kuwa anawapenda Sana lakini haikuwa ivo, mwaka huu January nilipata Safari ya kwenda Congo DRC mwanamke akarudia tabia zake za mwanzo ikafikia hatua akawa anatuma Text kwa leo anaenda kwa mwanamme so nisimsumbua na mengine mengi , nimerudi mwezi August moyo wangu ukiwa na maumivu makubwa Sana ila tayari nilikuwa na uamuzi wa kuachana nae !

Kweli nilifanikiwa Hilo nashukuru Mungu ndani ya muda mfupi Sana nimemsahau lakini kubwa lililonifanya kuja kwenu hapa jamvini Ni kuwa anapiga simu za kuomba pesa za shule za Yule mtoto ili hali Mimi so biological father ,but majina yote mtoto anatumia yangu na ananijua Mimi ndo baba yake , je nifanye nini wadau juu ya hili ndg zangu , niendelee na utaratibu huo au nimkaushie ?
Je wanawake wakweli wapo wapi ? au ndo utandawazi huu!

Nawasilisha.
***** zako wewe hv unajielewa ww?
 
Uchawi kweli upo

Khaaaa sasa huyu si zezeta kabisa kasoro kutoa maudenda udenda mdomoni
 
Oya wajubaaa, Wanawake ni wetu, tuliumbiwa sisi

Yaan sisi wanaume tulivyoumbwa ,alikua Mwanaume mwenyewe.

Tukaletewa wanawake wawe wasaidizi wetu .

Tamaa zao zikawekwa juu yetu Wanaume.

YAAN KUA TU MWANAUME HAPA DUNIANI NI USHUKURU SANA.

KIKUBWA NI KUPAMBANA ILI TULE KWA JASHO LETU .

NA KINGINE KIKUBWA, NI KUA VIONGOZI WA MAISHA YETU NA MAHUSIANO YETI YA UCHUMBA NAHATA NDOA.

MWANAUME USIUZE UANAUME WAKO .

MWANAMKE ASIKUPANDE KICHWANI..WAPO WENGI MNOOOO WAMEJAAAAA.

SAASA IKIWA KATIKA MAELFU NA MAMILIONI YA WANAWAKE, WEEE UMEMUONA ANAFAA, UMEMUOA, KWANN AKUPANDE KICHWAN ?????

MIGOGOGO KWENYE MAHUSIANO IPO, LKN PAMOJA NA HIYO MIGOGORO, KAMA KICHWA CHA MAHUSIANO , UNAPASEA HESHIMA YAKO ILINDWE. UTI WAKO UTHAMINIWE, MIPAKA YAKO ILINDWE, IJULIKANE WEE NDIO MUME, WEE NDIO BABA, WEE NDIO DREVA.

haya ya ubebi ubebi ubebi [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
 
Mkuu una

Mkuu una akili Sana nashukuru
Karibu robert ila nimesapoti kumlipia ada kama uwezo unao na hasa kama wazazi halisi ni wale wajinga wasiotaka kusomesha na kumpa mtoto haki zake.

sijasapoti upumbavu wa kuendelea na huyo mzinzi. Ukicheka na mzinzi kuna siku atakulisha shahawa na itakuwa ndo mchezo wenu, analiwa anamwagiwa analeta nyumbani unakunywa. Si ww ni bingwa wa kupenda.
 
Back
Top Bottom