MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Na sotoishia hapo niliahidi na sasa natekeleza hata Mechi ya Marudiano Wiki ijayo Dar es Salaam pia nitawasaidia kwa kutoa Siri Kubwa za Kimchezo za Simba SC na mpaka Uchawi Wao wanaoutumia.
Na nikiona bado Kocha Msaidizi Matola hajatimuliwa Simba SC na Barbara nae hajatuachia Simba SC naahidi Kuwasaidia Yanga SC na kutoa Siri za Ndani za Simba SC kuelekea Derby ya tarehe 23 Oktoba, 2022 ambapo si tu kwamba Simba SC itafungwa bali itafungwa Magoli mengi kuanzia 7 mpaka 9 na Yanga SC.
Na kama kuna Wendawazimu mnadhani Simba SC hii mbovu ya CEO Barbara Gonzalez na Kocha Msaidizi Matola itatoboa CAFCL na katika NBC Premier League basi mnajidanganya ila kile ninachokijua tu ni kwamba Simba SC inaenda Kutolewa raundi hii hii ya Kwanza na Wamalawi na huku katika Ligi Kuu ukweli ni kwamba Yanga SC watakuwa Mabingwa tena wakifuatiwa na Azam FC, kisha Singida Big Stars FC na Mtibwa Sugar FC na Simba SC itashika Nafasi ya Tano ( 5 ) au ya Tisa ( 9 ) katika Msimamo Ujao wa Ligi Kuu ya NBC.
Ubaya Ubayani tu Kudadadeki....!!!!!!!