Zainab j
JF-Expert Member
- Sep 24, 2018
- 1,817
- 2,362
huyo anatumia dawa za uchizi, asipomeza kwa usahihi hasira zake anamalizia kwa kutukana kina matola na BarbaraLeo hii akitumia ile ID yake iliyo zoeleka! Anajifanya eti kuisifia tena timu yake, na pia CEO wake aliyekuwa akimnanga kila aina ya matusi!
Hakika huyu jamaa kweli ni Popoma.