Kama ni mgeni kwenye biashara kufail hakukwepeki kwasabu huna uzoefu cha kufanya kama una mtaji wa mil 5 tafuta biashara ya mtaji mdogo kama laki 5 hivi au mil 1 ili ukifail ile iliyobaki itakusaidia kuinuka tena ukiwa na uzoefu usiweke mayai yote kwenye kapu moja.