Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sahihi kabisaKama ni mgeni kwenye biashara kufail hakukwepeki kwasabu huna uzoefu cha kufanya kama una mtaji wa mil 5 tafuta biashara ya mtaji mdogo kama laki 5 hivi au mil 1 ili ukifail ile iliyobaki itakusaidia kuinuka tena ukiwa na uzoefu usiweke mayai yote kwenye kapu moja.