OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Jina lipo vizuri limenyooka hakuna konakona.
Nasema tukutane dimbani tarehe 28. Nimeongea na mtendaji tumekubaliana kura yangu isiguswe wala isichezewe. Ameniuliza kama nimeshafanya maamuzi. Nimemjibu nitapigia Haki, Uhuru na Maendeleo.
Nakusihi sana mwanaJF kuanzia wamiliki mpaka wasomaji wasio members. Twendeni tukapige kura, usikae nyumbani.