Uchaguzi 2020 Nimeshahikiki jina langu kwenye daftari, tarehe 28 naenda kumkata kidevu

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001
Jina lipo vizuri limenyooka hakuna konakona.

Nasema tukutane dimbani tarehe 28. Nimeongea na mtendaji tumekubaliana kura yangu isiguswe wala isichezewe. Ameniuliza kama nimeshafanya maamuzi. Nimemjibu nitapigia Haki, Uhuru na Maendeleo.

Nakusihi sana mwanaJF kuanzia wamiliki mpaka wasomaji wasio members. Twendeni tukapige kura, usikae nyumbani.
 
Lazima nimchinje kidevu atajua hajui hatuwezi kumchgua chizi
 
Naenda kumkata Amsterdam shuaini zake. Kiherehere yule.
 
naona CCM wametoa takwimu zao kuonesha wapiga kura wangapi, wanachama wangapi na kura wanazozitafuta ni ngapi. In short ni kutaka kuonesha kuwa wameshashinda, sasa wanachosahau wao kuwa kuna watu wamechukua kadi kwa maslahi tu ila kwenye sanduku wanamuekea mwengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…