Uchaguzi 2020 Nimeshahikiki jina langu kwenye daftari, tarehe 28 naenda kumkata kidevu

Nmehakiki jina langu!
Tarehe 28 naenda kumchinja Amsterdam bila huruma.
 
Nae
Naenda kumchinja mtu toka kisogoni
 
Kumukata wewe tu haitoshi ungejaribu kualika na ukoo wako mzima kabisa kaka.

Kwa maana Kura yako kwa Magufuli nikama punje ya mchanga kwenye ufukwe wa bahari.
 
Kama kawa tunakata mtu kichwa live live
 
Kumukata wewe tu haitoshi ungejaribu kualika na ukoo wako mzima kabisa kaka.

Kwa maana Kura yako kwa Magufuli nikama punje ya mchanga kwenye ufukwe wa bahari.
Kura kwa magufuli unakuwa unaipoteza tu. Kushinda au kushindwa anategemea NEC na Polisi. Kura yako haina maana. Mpe Tundu Lissu tu.
 
Atoe wapi shepu huyo! Usikute ana vikalio tu!
 
Tundu Lissu saa 4 kamili asubuh tunatembea kwa mguu kukusindikiza ikulu

Matokeo yao ya saa mbili usiku watayasubiri wenyewe.

Tukapigee kuraaaa
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Chadema mikwara yao sio ya nchi hii.
 
Kura yako na wenzako zitafika laki mbili?
 
Kura kwa magufuli unakuwa unaipoteza tu. Kushinda au kushindwa anategemea NEC na Polisi. Kura yako haina maana. Mpe Tundu Lissu tu.
Sipo tayari kusutwa na nafsi yangu kisa nimemupa Kura yangu Mbeligiji angali Mimi Ni Mtanzania.
 
Nasubiri kwa hamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…