Nimeshajiridhisha kamwe mama yetu Samia hatawahi kuwa rais

Nimeshajiridhisha kamwe mama yetu Samia hatawahi kuwa rais

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,298
Reaction score
47,337
Dah jamaa anazungukwa na walinzi wakali wanasura ngumu halafu wanamacho makali kama ya mwewe.

Yale yaliovaa mabakabaka ni mapande ya watu yamepanda hewani yameshiba nasikia yana shabaha balaa na bunduki zao za ajabu ajabu zilizosheheni risasi za kutosha.

Kweli nimejiridhisha mama yetu Samia hawezi kuwa rais kwa mujibu wa katiba. Ila jamaa mbishi Israel mwenyewe kamgwaya.

Barbarosa Magonjwa Mtambuka
 
Ile stand ya Dodoma unaweza kulia ugari toilet usafi upo wa hali ya juu kama iran
 
Mkuu unaweza ukawahi milembe ili usije tusumbua hali ikiwa mbaya zaidi wahi milembe mkuu kabla Mambo hayajawa Mambo..
 
Back
Top Bottom