Dah jamaa anazungukwa na walinzi wakali wanasura ngumu halafu wanamacho makali kama ya mwewe.
Yale yaliovaa mabakabaka ni mapande ya watu yamepanda hewani yameshiba nasikia yana shabaha balaa na bunduki zao za ajabu ajabu zilizosheheni risasi za kutosha.
Kweli nimejiridhisha mama yetu Samia hawezi kuwa rais kwa mujibu wa katiba. Ila jamaa mbishi Israel mwenyewe kamgwaya.