Tanzania haijawahi kudharau kiingereza, ni awamu hii tu ndo kumezuka hili jambo na hata sisi tunaona aibu usione tunajikakamua kubisha. Awamu tuna sababu ya msingi ya kukiponda kiingereza, hakuna nyumba inapika kitimoto wakati baba mwenye nyumba hatumii kisa kuna watoto wanatamani Kitimoto.
Kwani tutakura hicho Kiingereza?Nimecheka kwa sauti hapa......
Hatukuli lakini tunakitamani.Kwani tutakura hicho Kiingereza?
I know, you get tickled when some of our people fall into your trap.Nimecheka kwa sauti hapa....
I know, you get tickled when some of our people fall into your trap.
I know, you get tickled when some of our people fall into your trap.
Le me pinch MK254 like njoo uone wanaojielewa kama wako obsessed na kiingereza kama wewe.
Chombo hiki kikubwa ulaya na duniani kinaona na kawaida tu kuongea kiingereza kilichovunjika vunjika. Likini wewe gologocho boy umeshikia bango. Yaani umekuwa zuzu, hata sababu ya kuwa hivyo hamna anayeijua.
Tuliwaambieni siyo kila mmoja anasujudia Kiingereza kama ninyi. Oneni EU wanachofanya baada ya BrExit
Kwa wale waumini wa kiingereza, tuliwaambieni ya kuwa siyo kila mmoja anakiabudu hiki kilugha cha Malkia kama Wakenya mnavyodhani. Pia ikumbukwe, kwa Wakenya wote, siyo kila mzungu mweupe anajua Kiingereza. Kuna idadi kubwa sana ya wazungu ambao Kiingereza kwao wala siyo kitu. Ndiyo maana sasa...www.jamiiforums.com
hahahahahahaHilo neno kundule unge bold likaonekana vizuri.
Kiingereza nilishajifunza siku mingi mno ndio maana sibabaiki hovyo!Haswa wewe siku nyingi nakuambia ujifunze kingereza maana huwa unatia huruma sana....raha ya kuandika na kuongea kingereza asikuambie mtu..
Wenzako wenye hela wanakesha wakijifunza ilhali wewe umeganda hapo Buza ukijiaminisha ni cha mkoloni.
Kiingereza nilishajifunza siku mingi mno ndio maana sibabaiki hovyo!
Huwa nazungumza ikibidi, sipapariki nacho kwa namna yoyote. Na kweli nakibonga tu vyema bila utata.
Lakini sijivunii nacho kabisa wala sioni kama ni jambo la fahari kama watumwa wengine wa wakoloni wa sampuli yako.
Nimekuja kugundua kuwa Kiswahili kinanifaa sana aisee.... najisikia fahari sana.
We guluguja wa Kibera una mipasho kama Asha Boko!Ungekua unajua kingereza nina uhakika IQ yako ingekua na kauelewa zaidi, ila kwa ulivyo ni wazi wewe ni muuza mtori hapo Tandale, hauna exposure yoyote ya Kingereza.
We guluguja wa Kibera una mipasho kama Asha Boko!
Hebu chamba kwa kizungu ili ninogewe vizuri!
Si ajabu umevaa dera hapo "unanichamba" huku unapapaswa msambwanda taratibu!
Kweli mombasa raha!
Umeamulia haya mataga leo😂😂Hehehe utanilipa ada ya kukuelimisha kingereza?
Umeamulia haya mataga leo😂😂
Hao walala-hoi wanapigwa tu changa la macho.....Watz haswa walalahoi wote huwa wameaminishwa Kingereza ni cha mkoloni mara sijui ni cha malkia, hivyo watoto wao wapelekwe kusomea kwenye shule za st Kayumba, ilhali wenye hela zao na hata viongozi wapeleke watoto wao kwa shule binafsi za English medium,
Huo uzi nimesoma sentensi moja nikakosa hamu ya kuendelea maana hamna kikubwa, ni yale yale tu ambayo huwa mnatumia kutetea uzembe wenu wa kutokujua kingereza.
Wazungu wengi hata Warusi japo hawajui Kingereza ila utakuta kwao hakitumiki kwenye chochote, labda tu pale wanahitaji kuwasiliana na watu wa mataifa mengine, ila nyie hapo Kingereza kinategemewa kwenye mambo mengi nyeti ikiwemo mikataba hadi ikulu halafu sasa chenyewe kimewapiga chenga, ila kama nilivyosema huwa mtaji kwa wale wanaokijua.
Watoto wa vigogo wenu wote wanasomea Kingereza, makajamba wa Buza ndio wameaminishwa wagande kwenye Kiswahili......
Wabongo mlisababisha nifanye maamuzi ya kuboresha Kingereza changu sana, sikua nakichukulia kwa umaanani hapo awali kabla kuja Bongo.
Achana na hizo longolongo, kutukuza lugha ya wengine mpaka kufikia kuisujudia ni mawazo ya ukoloni wa hali ya juu. Nilileta mada hii makusudi kabisa kuwaonesha baadhi ya watu wenye limited exposure like you, ya kwamba even many of learned wazungu, wanaongea kiingereza kilichovunjika vunjika. Ndiyo maana watanzania hatushoboki na kilugha cha malkia.
Wewe jamaa lofa sana. Hujui english medium schools ziko kwenye nchi zote ambazo zinathamini lugha zao za asili? Hebu search hata haya maneno matatu tu: english + medium + schools halafu uone majibu.Kuna uzi nimekutana nawo humu unaongelea kuhusu shule za serikali ambazo ni English medium, nikawa nachanganyikiwa, maana Watz haswa walalahoi wote huwa wameaminishwa Kingereza ni cha mkoloni mara sijui ni cha malkia, hivyo watoto wao wapelekwe kusomea kwenye shule za st Kayumba, ilhali wenye hela zao na hata viongozi wapeleke watoto wao kwa shule binafsi za English medium, ila kumbe kunazo pia za serikali na zinazotumia mtaala mmoja japo zina ada ya gharama.
Ndugu zetu hiki kingereza mtakizunguka na kukitukana na kujifanya kukichukia ila hakikwepeki kwenye utandawazi wa leo, mambo ya "sizitaki mbichi" yamepitwa na wakati.... suluhisho ni kucaha uzembe na kukisomea
Shule za English medium za serikali | JamiiForums
Kuna huu uzi mwingine ambao naona jamaa ameandia kwa uchungu sana kuhusu hilo hilo JAMHURI YA WOGA! | JamiiForums