kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Atatoa siri kwa huyu kupeleka kwa yule ili hata kama kuna uwezekano wa kurudiana usiwepo kabisa...yaani siri za huyu zinaweza toka zote[emoji1] [emoji1]Kilichokushangaza ni nini?
Manake mwarabu fighter sio bodyguard wa diamond muda mrefu kidogo
Atatoa siri kwa huyu kupeleka kwa yule ili hata kama kuna uwezekano wa kurudiana usiwepo kabisa...yaani siri za huyu zinaweza toka zote[emoji1] [emoji1]
Hivi Misiba siku hizi watu tunaenda kuomboleza au kuokoteleza
FYIYule mlinzi wa Diamond Platnumz kwa sasa ni bodyguard wa Zari the Bosslady. Yaani nimeshangaa kweli kweli hadi mida huu bado nashangaa hapa.
Asstaghfirrullah!!
FYI.. Kuna misiba na Kuna miziba !! Kama Huu NI mziba basi wasanii huja kutega uchumi...!!
Tuombee Mungu tusifikie huko.. hii generation itatuzamisha !!!
View attachment 1088113
Hahaa alikuwa shemeji yake nini?Inasemekana kijana wa Mtwara alikuwa hataki hata kumwona pale Wcb.
Kwani anatangaza bure? Inayotafutwa ni hela si kingine.Hivi boss lady all the way to tz kutangaza pampaz, kweli boss lady?? Aisee tukinao anapenda kiki, ndio maana waganda hawana time nae.
Boss led tungeskia yupo UK / Us anasain mikataba mikubwa, huko ndo hawezi kanyaga alipewa ban ya maisha yaan vurugu tupu.
Watu wa kutangaza pampas inabidi wawe hata akina
Ebitoke ila sio bosled zari😁😁😁😁
Zari ndo celebrity mwanamke mwenye nguvu zaidi na Mashariki wengi Tanzania kuliko watanzania wenyewe yaani mtu kutoka Uganda ndo maarufu zaidi kuliko watanzaniaHivi boss lady all the way to tz kutangaza pampaz, kweli boss lady?? Aisee tukinao anapenda kiki, ndio maana waganda hawana time nae.
Boss led tungeskia yupo UK / Us anasain mikataba mikubwa, huko ndo hawezi kanyaga alipewa ban ya maisha yaan vurugu tupu.
Watu wa kutangaza pampas inabidi wawe hata akina
Ebitoke ila sio bosled zari[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]