Nimeshangaa kumuona aliyekuwa bodyguard wa Diamond “Mwarabu Fighter” akiwa anamlinda Zari

kALEnga kidamali

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
542
Reaction score
735
Yule mlinzi wa Diamond Platnumz kwa sasa ni bodyguard wa Zari the Bosslady. Yaani nimeshangaa kweli kweli hadi mida huu bado nashangaa hapa.

Kilichokushangaza ni nini?

Manake mwarabu fighter sio bodyguard wa diamond muda mrefu kidogo
 
Atatoa siri kwa huyu kupeleka kwa yule ili hata kama kuna uwezekano wa kurudiana usiwepo kabisa...yaani siri za huyu zinaweza toka zote[emoji1] [emoji1]
 
Ujinga huo na ushamba wako, hivi unafikiri kuachana ni uadui, si ka mwomba tu Baba watoto wake naye kakubali....
 
Atatoa siri kwa huyu kupeleka kwa yule ili hata kama kuna uwezekano wa kurudiana usiwepo kabisa...yaani siri za huyu zinaweza toka zote[emoji1] [emoji1]

Jamaa sio mlinzi wa huyo bi dada...anajitegemea na ana kampunibyake ya ulinzi hata wewe ukihitaji unaweza mkodi akakulinda ni pesa yako tu. Hata majuzi hapa alikua akimlinda Hamissa katika kitukio flani hivi. So ni kumkodi tu kwa muda na si kumwajiri jumla
 
Yule mlinzi wa Diamond Platnumz kwa sasa ni bodyguard wa Zari the Bosslady. Yaani nimeshangaa kweli kweli hadi mida huu bado nashangaa hapa.
Asstaghfirrullah!!
FYI.. Kuna misiba na Kuna miziba !! Kama Huu NI mziba basi wasanii huja kutega uchumi...!!
Tuombee Mungu tusifikie huko.. hii generation itatuzamisha !!!

View attachment 1088113
FYI
 
Watu wenye akili bongo wanazidi kupoteya ..juwa kwamba zari anamuamini mwarabu sababu toka akiwa na diamond ndo alikuwa mlinzi wao isitoshe mwarabu Ana kampuni yake ya ulinzi hajaajiliwa na yyote yule ata nawew kwapesa zako waweza mutumia kama mlinzi wako ...hadi sasa nafikiria kilichokushangaza nakosa nlichofikilia nikwambA unauwezo mdogo sana wakufikiria
 
Hivi boss lady all the way to tz kutangaza pampaz, kweli boss lady?? Aisee tukinao anapenda kiki, ndio maana waganda hawana time nae.

Boss led tungeskia yupo UK / Us anasain mikataba mikubwa, huko ndo hawezi kanyaga alipewa ban ya maisha yaan vurugu tupu.

Watu wa kutangaza pampas inabidi wawe hata akina
Ebitoke ila sio bosled zari😁😁😁😁
 
Kwani anatangaza bure? Inayotafutwa ni hela si kingine.
 
Hivi boss lady all the way to tz kutangaza pampaz, kweli boss lady?? Aisee tukinao anapenda kiki, ndio maana waganda hawana time nae.

Boss led tungeskia yupo UK / Us anasain mikataba mikubwa, huko ndo hawezi kanyaga alipewa ban ya maisha yaan vurugu tupu.

Watu wa kutangaza pampas inabidi wawe hata akina
Ebitoke ila sio bosled zari[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Zari ndo celebrity mwanamke mwenye nguvu zaidi na Mashariki wengi Tanzania kuliko watanzania wenyewe yaani mtu kutoka Uganda ndo maarufu zaidi kuliko watanzania
 
Back
Top Bottom