Kweli Ford pia alipeleka Viwanda vyake kule, kusaidia Magari na vifaa vingi vya kuundia Viwanda vya awali.Wadau,
Acha kabisa. Siasa za kimataifa hazina rafiki wa kudumu. Nilikua nasoma mahali. Kumbe wajerumani walikua wanaiteka USSR.
Kama kawaida mbabe USA akampatia support ya siraha kali kumsaidia urusi ya zamani kushinda vita.
Na kwahistoria hiyo Urusi hatoboi hapo Ukraine.
Hiyo vita hapo Ukraine itapiganwa hata miaka 10 lkn mrusi hatakubali na us hatakubali, tujiandae tu kwa maumivu makali ya maishaWadau,
Acha kabisa. Siasa za kimataifa hazina rafiki wa kudumu. Nilikua nasoma mahali. Kumbe wajerumani walikua wanaiteka USSR.
Kama kawaida mbabe USA akampatia support ya siraha kali kumsaidia urusi ya zamani kushinda vita.
Na kwahistoria hiyo Urusi hatoboi hapo Ukraine.
Hiyo vita hapo Ukraine itapiganwa hata miaka 10 lkn mrusi hatakubali na us hatakubali, tujiandae tu kwa maumivu makali ya maisha
Sio urusi pekee nchi karibu zote za Ulaya hasa UK hadi leo UK anadaiwa pesa na USA za vita vya pili vya Dunia. Thus makubaliano ni dola ndo itumike zaidi duniani. Soma historia ya rise of USA, wakati ulaya inapigana yeye ana make
Punguza mahaba na Rusia kaka.kama ni hivyo Uingeleza na Marekan hazikutia mguu Ujeruman why kulikuwa west na east German?Ujeruman ilikuwa inashinda vipa U.S ndiye iliyo geuza mkondo wa vita Ulaya 1941Mambo mengi yamebadilika sana tokea kipindi hiko, na bepari hakutoa huo msaada bure hio ilikua ni mikopo. Hilo jambo liliwezekana kwa sababu kwa kipindi hiko duniani marekani ndo ilikua nchi yenye viwanda vingi, aliweza kuzalisha kwa wingi na akawa na soko la uhakika, hakutoa kitu bure, alikua anawekeza na mikopo alizipa nchi zote zilizokua zinapigana na mjerumani ila mrusi ndo alieweza kumdhibiti mjerumani.
Hao waingereza walishaanza kulamba pesa ya mmarekani mapema zaidi ila waliishia kulamba sakafu tu mjerumani aliwatandika akachukua hadi nchi zao kwa sasa hali ni tofauti nchi yenye viwanda vingi na inayoweza kuzalisha bidhaa kwa wingi ni china huku muhindi akimfukuzia.
Kwa hii factor ya sasa mchina na muhindi wanapata gesi na mafuta kwa bei chee zaidi kutoka kwa mrusi, mchina akigeuza kibao wamagharibi watakimbiana , na mrusi anajua karata anayoicheza ndo maana hawa jamaa kipindi hiki wamekua karibu sana, hizo silaha wamagharibi wanazopeleka ukraine lazima stock ifidiwe gharama za uzalishaji kwa nchi za magharibi zinapanda, watu wanakimbiza mwizi kimya kimya.
Itaendelea[emoji237][emoji237]View attachment 2351907View attachment 2351908View attachment 2351909View attachment 2351910View attachment 2351911View attachment 2351912View attachment 2351913View attachment 2351914View attachment 2351917View attachment 2351918
Leta source ya habari yako.Na kwahistoria hiyo Urusi hatoboi hapo Ukraine.
Mahaba vipi kwani si ndo ukweli wenyewe.......kageuza mkondo ila waliokua uwanja wa mapambano ni wengine sio yeye mmarekaniPunguza mahaba na Rusia kaka.kama ni hivyo Uingeleza na Marekan hazikutia mguu Ujeruman why kulikuwa west na east German?Ujeruman ilikuwa inashinda vipa U.S ndiye iliyo geuza mkondo wa vita Ulaya 1941
hahahaaa bado wanamvutia kamba kila kitu mahesabu , inabid adhoofike then waje wamfuate hadi Moscow kama Hitler au NapoleonMarekani akiweka bajeti ya kueleweka kwenye hii vita Urusi watarudi kwao.
hahahaaaaaMahaba vipi kwani si ndo ukweli wenyewe.......kageuza mkondo ila waliokua uwanja wa mapambano ni wengine sio yeye mmarekani
Kaka kama hujui tulia, Marekani alikuwa anashambulia Ujerumani upande wa Magharibi na Urusi anapiga Mashariki.Mahaba vipi kwani si ndo ukweli wenyewe.......kageuza mkondo ila waliokua uwanja wa mapambano ni wengine sio yeye mmarekani
Unafikiri rusia nae hana bajeti ya kuweka?Marekani akiweka bajeti ya kueleweka kwenye hii vita Urusi watarudi kwao.