Leo nilijisikia kutengeneza popcorn ili weekend iende vizuri, nikajivuta sokoni hapa Dar. Kwenye maduka ya nafaka. Naulizia mahindi ya popcorn naambiwa kilo moja 3500. Wananiambia mahindi ya popcorm asilimia kubwa yanatoka USA.
Nimeshindwa kuelewa. Watanzania tumeshindwa kuchangamkia hii fursa? Mbona mikoa kibao soko la mahindi linakubali? Kwanini tumeshindwa kulima aina hii ya mbegu?
Nimeshindwa kuelewa. Watanzania tumeshindwa kuchangamkia hii fursa? Mbona mikoa kibao soko la mahindi linakubali? Kwanini tumeshindwa kulima aina hii ya mbegu?