Hapana.. anyway sikuwq nafuatliaYa nje yanavirutubisho vingi mkuu hujamsikia Bashe?
Ok.. nilikuwa sijui hili..hapa watu wanalima sana isipokuwa ubora wake unakuwa tofauti sana na yanayotoka nje.Mimi ni mtengenezaji mzuri wa popcorn ila ya ndani yanapasuka kidogo sana tofauti na yale yanayotka nje yanapasuka kwa kiwango kikubwa na kuvutia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena huko bei rahisi, huku maporini kwetu kilo ni 4500-5000.Tuliowahi kutengeneza popcorn ndo tunaelewa hili! Chakufanya pita sokoni nunua mahindi yako yale ya njano kilo 2000-2500 kisha katengeneze popcorn zako.
Kaanga/choma kilo nzima uone utatoa mifuko mingapi.Tupiamo na kapicha hapa tuone yalivyopasuka!
================
Ila mbona kama bei imepanda mimi zama hizo nilikuwa nanunua Lavena elfu tatu! Siku hizi sijui ipo vipi.
Duh wanawakamua sana!Tena huko bei rahisi, huku maporini kwetu kilo ni 4500-5000.
Yaani acha tu, na kupatikana ni kwa taabu pia.Duh wanawakamua sana!
Yakapasuka asilimia 98!!!Kuna ndugu yangu alilima hapa Iringa, siku niliyo kuepo pale alichukua akayakaanga kweny sufuria ndogo ya kawaida na moto kidog.
Yalipasuka vzr san asilimia 98.
Mm hilo sishangai najua ndo tulivyo sisi tz tunajipang kufanya mambo makubwa tu issue ndogo tunaona upuuzi.
Mfano juzi nilienda kununua stick zile ndefu za kuchomea mishikaki, aisee nilishangaa tule tufimbo tunatoa China!!!
Nilibidi nijidharau kwanza kisha nikapiga picha hii hapa.View attachment 1478834View attachment 1478836View attachment 1478839
Yakapasuka asilimia 98!!!
upo sahihiHapa watu wanalima sana isipokuwa ubora wake unakuwa tofauti sana na yanayotoka nje.Mimi ni mtengenezaji mzuri wa popcorn ila ya ndani yanapasuka kidogo sana tofauti na yale yanayotka nje yanapasuka kwa kiwango kikubwa na kuvutia