Ben Zen Tarot
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,298
- 7,612
ninafanya biashara ya popcorn kwa sasa mahindi yamekuwa adimu na yanauzwa 6000 badala ya 4000 mahindi ya Tanzania yamejaa sokoni jana nimenunua mahindi ya bisi kwa 6000 tegeta nyuki kumbe kaniuzia ya Tanzania ambayo hayapasuki vizuri nikamrudishia ndio akanipa mahindi mazuri.Ya Tanzania hata hayapasuki vizuri mwisho yanaishia kuungua tu.
Mie huyanunua kwa 5000 kilo. Ya tz sio kabisaaa.ninafanya biashara ya popcorn kwa sasa mahindi yamekuwa adimu na yanauzwa 6000 badala ya 4000 mahindi ya Tanzania yamejaa sokoni jana nimenunua mahindi ya bisi kwa 6000 tegeta nyuki kumbe kaniuzia ya Tanzania ambayo hayapasuki vizuri nikamrudishia ndio akanipa mahindi mazuri.
naomba number ya huyo jamaa wako wa iringa nataka nikayalime mbeya maana ninafanya biashara ya popcorn Dar nimeweka watu nina machine 5 sasa na huu mfumuko bei faida inakuwa changamotoKuna ndugu yangu alilima hapa Iringa, siku niliyo kuepo pale alichukua akayakaanga kweny sufuria ndogo ya kawaida na moto kidog.
Yalipasuka vzr san asilimia 98.
Mm hilo sishangai najua ndo tulivyo sisi tz tunajipang kufanya mambo makubwa tu issue ndogo tunaona upuuzi.
Mfano juzi nilienda kununua stick zile ndefu za kuchomea mishikaki, aisee nilishangaa tule tufimbo tunatoa China!!!
Nilibidi nijidharau kwanza kisha nikapiga picha hii hapa.View attachment 1478834View attachment 1478836View attachment 1478839
Mie huyanunua kwa 5000 kilo. Ya tz sio kabisaaa.
wapi huko? Dar kilo 6000 kariakoo 5500 juzi tu hapa yalikuwa 4500 na huenda yakapanda tena¡
21Kilo moja inatoa vifuko vingapi vya jerojero?
Unafahamu sheria za kulima mahindi ya mbehu? zile mahindi Bisi zina sheria zake,sio kujilimia tu kama unalima mihogowayaboi nina shamba la ekari 2 mbeya nataka nijikite kwenye kilimo cha mahindi ya bisi ila sijui pa kuanzia...yale mahindi tunayonunua dukani ndo mbegu yenyewe ukipanda yanaota?
Ndo utuambie sasa hizo Sheria tuzijueUnafahamu sheria za kulima mahindi ya mbehu? zile mahindi Bisi zina sheria zake,sio kujilimia tu kama unalima mihogo
Nahitaji kufahamu zaidi.Hapa watu wanalima sana isipokuwa ubora wake unakuwa tofauti sana na yanayotoka nje.Mimi ni mtengenezaji mzuri wa popcorn ila ya ndani yanapasuka kidogo sana tofauti na yale yanayotka nje yanapasuka kwa kiwango kikubwa na kuvutia
Yanalimwaje?Ulimaji wa mahindi yake una mashariti sana, ni sawa na ulimaji wa mahindi ya mbegu, Mahindi ya kuzalisha mahindi ya mbegu huwa hayalimwi limuradi umelima
Ni zipi?Unafahamu sheria za kulima mahindi ya mbehu? zile mahindi Bisi zina sheria zake,sio kujilimia tu kama unalima mihogo